Search results

  1. D

    Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

    BIla shaka umezaliwa 2004
  2. D

    Maxence Melo ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Kwa kwel mana ASALI ya kulambishwa ni tamu sana,ni kukaa ki master🤣
  3. D

    Dudubaya ameokoka rasmi

    Hana pesa ya KONYAGI kapumzika tu😅
  4. D

    Ni kweli Ngwair wakati anafariki alikuwa amekwisha kimuziki?

    NGwea alipatwa na stress baada ya album yake bora kabisa AKA MIMI kuuza shiling lak 6 manager akiwa Dj venture,ngwea alikua na bar sinza na gar lakn vyote vikapotea,kule south alienda beba unga
  5. D

    Mate kujaa mdomoni, tena yenye harufu mbaya wakati wa kuamka asubuhi husababishwa na nini?

    Umemaliza kila kitu,mim asubuh nikiamka nilikua nakuta mate meng kwenye mto,harufu mbaya,nikaja kugundua ni pombe,nikapumzika miez mitatu,hali ikapotea na harufu mbaya mdomon na nikienda choon kinyes hakitoi harufu mbaya,nakunywa maji mengi,matunda na mboga za majan,tatizo limeondoka kabisa,nuru...
  6. D

    Mji Mzito Huu, DirectorJo Behind the Scene ni "Lord"

    Ni kwel huyo Joan kazaliwa kinondon shamba,biashara ya madawa ni ya kitambo tokea ana bar yake pale TX kinondon mitaa ile ilipokua bar ya G8 ya mama siriwa,pale wauza sembe na matapel lazima uwakute pale, na director mdogo wake alikua anamtuma brazil,pakistan kubeba sembe..mume wake anaitwa...
  7. D

    Alikiba unapaswa kuomba RADHI Wakristo

    Huyu anayechukua video nae mkristo? Huyu dogo ndo anabak pale pale,kwasababu ana dharau sana
  8. D

    Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

    ITakua we ni wa kishua au umri wako mdogo,mwaka 1988 karibia kila nyumba walikua wanakula ngozi ya ngombe wenyewe waliita makwasu kwasu hayo ukila na ugal ni balaa tupu,sasa hiv kuna makwasu kwasu mpaka ya kitimoto.. na hii sio Tz tu mpka USA,china,russia wanakula ngoz sio umaskin ni desturi...
  9. D

    Mate kujaa mdomoni, tena yenye harufu mbaya wakati wa kuamka asubuhi husababishwa na nini?

    Nlikua na tatizo hilo nikaja kugundua nlikua na minyoo,pia usagaj wa chakula ukawa shida kwasababu nlikua natumia pombe,nikatumia dawa za minyoo,nikaanza kula vizur ikiwemo matunda na mboga za majani,kuswaki vizuri haswa ulimi mana weng tunasugua meno badala ya ulimi,ulim ndo unatoa harufu
  10. D

    Wakazi: Niliwahi kulala kwenye gari miezi miwili baada ya kufukuzwa home

    Wakishua afu anaish STAKISHARI🤣😂
  11. D

    Huyu Dotto Magari hilo jina la Dotto amelitolea wapi aisee?

    Doto Mwana kino kitambo huyo alikua na pacha wake ambapo wote waliingia kwenye uteja,piga sana debe manyanya,mwizi sana yan oysterbay police na central palikua kwake,doto aliacha unga na wizi,anaishi mtaa wa brazil kino kwenye nyumba yao ya urithi,wapangaj wake ni wanawake hapangish wanaume,weng...
  12. D

    Ushirikina, Tiba Mbadala zinavyogharimu maisha ya watu Tanzania

    Mimi pia ni mhanga,mama mzazi alikua anasema anaumwa sana na kuna muda unakuta damu choon,unajiuliza nin kinaendelea,baada ya kwenda hospital akaanza kwenda kwa mwamposa,akahama akaenda kwa rwakatare kifup alimaliza wote,mwisho wa siku akazidiwa sana,kwenda muhimbili akaambiwa ana cancer stage...
  13. D

    Yuko wapi Mbiki Msumi?

    BAshe kamzalisha mbiki,bwana ake BONA alikuja kimya kimya dodoma akamfuma akiwa na bashe,ndoa ikavunjika
  14. D

    Yuko wapi Mbiki Msumi?

    Mzumbe alisoma certificate ya law,alipomaliza akajiunga na tumain university iringa 2005,kusomea degree
  15. D

    Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

    Amesema Mkataba aliuacha ofisin alipomaliza kusaini yan hata copy hana😂
  16. D

    Watu mna siri sana. Kumbe Diamond Platnumz anamiliki Kisiwa na hamsemi?

    Kisiwa kipi? Diamond alinunua plot beach kigambon hicho kisiwa alichonunua ni kipi? Hao africa face zone sources wametoa wikipedia🤣😂
  17. D

    Kajala Kamrithisha mtoto wake mirathi ya Udangaji

    Kajala wengi hawamjui ila umalaya alianza tokea akiwa primary,kwa wale waliosoma jitegemee sec miaka ile ya 90s wataniunga mkono,huyu alikua ni mama huruma alikua ni mtu wakupigwa mitungo,hapo acha pale kwao line police obey,aligongwa mpaka na askari rafik wa babaye,umalayq uko kwenye damu
  18. D

    Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

    Wabongo vigeu geu maguful alipora pesa na assets za wafanya biashara wa bureau de change leo wanasema wanamkumbuka
  19. D

    Bila Mercy, huenda tusingekuwa na bilionea Mengi

    Nadhan ungeweka reference ya sources zako
  20. D

    FORBES: 15 most dangerous cities in the US

    Sogodo mwananyamala msufini,pale ni uwanja wa fisi mpya😂😂
Back
Top Bottom