Search results

  1. S

    Mshipa wa ngili(henia)na nguvu za kiume.

    Swali je ni kweli ugomjwa huo husababisha upungufu wa nguvu za kiume?
  2. S

    Msaada sentensi hii kwa lugha ya Kiingereza

    Wadau naomba msaada wa sentensi hii in english .ELIMU HAINA MWISHO.
  3. S

    Ewe mwalimu toa maoni yako hapa kuhusu uchovu wa chama cha walimu kwa sasa

    Haijawahi kutokea mwl kudai fedha za likizo kwa mwaka mzima baada ya chama kuanziwa.Vilevile madaraja ni kero kubwa.
  4. S

    Kuhusu afcon 2015 startimes jibuni hapa

    Baada ya kuondoa channel za ubc na kbc mwaka 2013 hatukuona live AFCO katika startimes.Je mwaka huu tutaona?.Au tuhame?
  5. S

    Msaada: Dawa ya kuongeza Homoni ya Testesterone mwilini

    wadau mimi ni mwanaume miaka 40. Tatizo langu ni kwamba sperm zinazalishwa kidogo sana kiasi kidogo sana.
  6. S

    Nimehitimu kidato cha sita miaka saba iliyopita, naweza pata mkopo?

    Mimi ni kijana niliyehitimu miaka saba iliyopita.lakini kwa kuwa wadogo zangu wananitegemea nilianza shughuli mbalimbali
  7. S

    Msaada ugonjwa wa tambazi tafadhali.

    Tafadhali naomba kuuliza swali na nitafurahi kupata majibu mazuri.Ugonjwa wa tambazi ni nini?.Dalili zake ni zipi?.Madhara yake ni yapi?.Na matibabu yake ni yapi?.Mzizi mkavu na wataalam wengine naomba msaada wa jibu.
  8. S

    King'amuzi cha startimes leo ni balaa.

    King'muzi changu cha startimes ,nimekuwa sikitumii mara kwa mara kutokana na picha kuganda sana.Lakini leo nilipokiwasha kinaonesha chanel za TING naendelea kufaidi.
  9. S

    Naweza kujiunga na shahada ya kwanza ya ualimu?

    wakuu naomba kunijuza tafadhali.Nina matokeo ya GPA 2.6666667 katika matokeo yangu ya diploma ya ualimu.Je,ninaweza kuyatumia kuomba nafasi ya masomo shahada ya kwanza kupitia TCU?
  10. S

    Hawa bomba FM vipi?

    Nawashangaa Bomba FM wameanza kutuma ujumbe mfupi kwenye simu za watu na kukata hela.Mimi mwenyewe ni mojawapo ya watu hao.Nahisi kwa sababu niliwahi kuomba wimbo wa dini kupitia radio yao.Hapo ndipo walipoipata namba yangu.Hiyo siyo haki.
  11. S

    startimes wananiboa.

    Startimes wananiboa sana.Nilinunua kisimbuzi chao januari 2012 na nilitumia antena ya ndani tu nikawa napata matangazo vizuri.Lakini kuanzia februari mwaka huu,picha zinaganda.Nimenunua antena ya nje lakini picha zina zinaganda na nimejaribu kuinua antena juu signal inaishia 41 tu.Hivi TING...
  12. S

    Naweza kupata nafasi ya msomo chuo kikuu?

    Nina diploma ya ualimu yenye mtokeo ya GPA 2.7.Ninaweza kupata nafasi chuo kikuu?.Naomba msaada wa mawazo.
  13. S

    wanandoa wanapofanikiwa kimaisha.

    wana JF najitokeza kuuliza swali linalonitatanisha.Hivi wanandoa wanapopata mafanikio katika maisha yaani toka ufukara kuwa matajiri ni yupi kati ya mke na mume mara nyingi hubadili tabia na kusababisha ndoa yao kusambaratika?Tabia hizo zinaweza kuwa dharau,majivuno,manyanyaso na nyingine...
  14. S

    Radio rfa mbeya kulikoni?

    Ni kwa muda mrefu sasa radio Free Africa haipatikani katika mkoa wa Mbeya.Kuna tatizo gani?
Back
Top Bottom