Search results

  1. ssl

    Matumizi GMO Kwa hapa Tanzania

    Je, Muda wa kutumia mimea ambayo vinasaba vyake vimebireshwa nchini Tanzania umefika? Karibu tujadiri hii kitu kitaalam maana nimeona kuna mijadala inaibuka juu ya matumizi ya GMO hapa kwetu.
  2. ssl

    Ufugaji ni Utajiri, kilimo ni mali

    Ufugaji ni Utajiri Ufugaji siyo kuku na nguruwe. Tuamke kilimo ni mali Tutunze pesa zetu kwa muda mrefu ili tupate pesa ya kununua Ardhi, vifaa vya shamba kama Trector. miundobinu. nyumba. maji na njia za maji. uwezo wa kununua pembejeo. Nje ya hapo wengi watakata tamaa. sie wasomi tumetiwa...
  3. ssl

    Wakulima ni maskini, dalali ni tajiri wa kutupwa

    Kwa kifupi sana naandika, amka mkulima, mshikane nchi nzima, mkatae kuuza mazao kwa madalali, mpange bei zenu wenyewe, tuwe na centre za kuuzia mazao yetu kikanda. tulime kwa kalenda, wanunuzi wafike kwenye masoko yetu wakute bei zetu. asiyetaka kwa bei yetu tumwambie watoto wetu na mifugo wetu...
  4. ssl

    Msikifanye kilimo shamba la bibi

    Miaka ya hivi karibuni watu wengi wanaona kilimo ni sehemu salama ya kutupa chini pesa zao ili zitoe faida kubwa. Je huu ni mwanzo wa mapinduzi makubwa ya kilimo cha Tanzania. Ukweli ni kwamba kilimo siyo shamba la bibi na ndo maana wanaokimbilia kulima tu wanaishia kulalama na kulia kwa kuzika...
  5. ssl

    Kuishi bila kufanya ngono ni salama zaidi na unaongeza furaha zaidi maishani

    Kuna watu wamekuwa wakipotosha ukweli kwamba ngono inachosha mwili na pia inafupisha siku za kuwepo duniani. Watu ambao ni mabikira wana furaha zaidi hapa duniani kuliko mtu yeyote yule na huishi siku nyingi zaidi duniani. Tusiwadanganye vijana eti ngono inaongeza siku za kuishi na inakufanya...
  6. ssl

    Pannar waanza kuita watu kwenye usaili

    Wadau habari njema kwa walio tupia cv zao kwa tangazo la kazi la tarehe 17/04/2014 la pannar seed wameanza kuita watu kwenye usaili wa tarehe 9/5/2014.
  7. ssl

    Kwa mwajiri anayetafuta Agronomist.

    kama wewe ni mwajiri na unahitaji agronomist, basi umempata. Toa contact zako ili muwasiliane naye.
Back
Top Bottom