ssl
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 138
- 101
Ufugaji ni Utajiri
Ufugaji siyo kuku na nguruwe.
Tuamke
kilimo ni mali
Tutunze pesa zetu kwa muda mrefu ili tupate pesa ya kununua Ardhi, vifaa vya shamba kama Trector. miundobinu. nyumba. maji na njia za maji. uwezo wa kununua pembejeo. Nje ya hapo wengi watakata tamaa. sie wasomi tumetiwa upofu na nani. hujiulizi kwa nini mkulima analima mwaka adi mwaka lakini maisha yake mbona hayabadiliki.? na wewe unaenda eti na ki millioni mbili kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya na unategemea millioni 20 nani kakudanganya wewe?
Mwezi wa Saba 2017 naenda kuvuna madume yangu ya ng'ombe yanipatie milioni 98. Milioni 50 naiwekeza Mjini. iliyobaki inanunua vidume vingine vya ng'ombe.
Siku Njema Wote