Search results

  1. MamaBeata

    Dance 100 zawadi ndogo sana

    Wadau samahani kama nitamkwaza mtu lakini binafsi sijapendezwa na zawadi zinazotolewa na shindano la dance 100 linaloendeshwa na channel 5 east Africa television. Hebu fikiria washiriki wanatakiwa kuwa kundi la watu kuanzia 5-8. Mshindi anapata zawadi ya sh za kitanzania milioni tano...
  2. MamaBeata

    Polisi Tanzania inanuka rushwa

    Nimekuwa safarini siku mbili hizi na nimeshuhudia rushwa nje nje imekuwa kama tuko Nigeria vile. Yaani traffic police wanasimamisha magari halafu hawaji kwenye gari konda anazunguka nyuma ya gari anampa hela. Na hiki kipindi naskia wanatafuta hela ya sikukuu ni wamejaa humo barabarani usiseme...
  3. MamaBeata

    Be aware na tamthiliya ya Be Careful With My Heart

    Habari zenu, nadhani kuna baadhi yetu wanafatilia ile tamthiliya ya Be Careful with My Heart inayoonyeshwa katika luninga ya Star TV. Sasa mimi pia ni mdau huwa nakaa naangalia na familia akiwemo msichana anaenisaidia kazi za nyumbani. Sielewi yeye alikua anaichukuliaje ila nadhani...
  4. MamaBeata

    Simuelewi wifi yangu

    Wifi yangu amekuja juzi. Ni dada wa mume wangu. Alipofika sikuwepo nilikua kazini. Nilipofika toka kazini nikamkuta amelala. Nikamsubiri alipoamka akaja tukatambulishana tukaendelea na maongezi. Jana siku ya pili kaamka kaoga kawasha tv, akitoka anaenda kulala. Anaamka anakula anarudi kulala...
  5. MamaBeata

    Nahofia mwanangu kaambukizwa malaria.

    Habari daktari. Mi nina mtoto mdogo wa miezi kadhaa. Sasa kutokana na mazingira kutoruhusu kuna siku tukiwa safari tulilala bila neti na mwanangu akapata upela maeneo yote alioumwa na mbu. Baada ya siku kadhaa ule upele ulikauka maisha yakaendelea. Hofu yangu ni kua mwanangu kaambukizwa malaria...
  6. MamaBeata

    Nimsaidiaje mtu huyu?

    Mimi ni mwanamke mwenye familia. Ndoa yetu ni changa bado. Hivi karibuni nilipata simu kutoka kwa mfanyakazi mwenzangu alieniomba nimsaidie kukaa na mdogo wake kwa siku tatu ili atafute chumba baada ya hapo angeondoka. Cha ajabu yule mtoto alikaa kwa wiki tatu akidai chumba hajapata ingawa...
  7. MamaBeata

    Dhahabu halisia

    Nahitaji pete mbili za ndoa za gold genuwine quality made by machines. Sio fake please. Ni pm tuongee business
  8. MamaBeata

    Pole mama khadija kopa

    Mama khadija nakuhurumia kwa jinsi mlivokua mmeshibana na mumeo, na jinsi ulivokua ukimrusha hewani kila wimbo. Mume anauma, sisi wenye waume tunajua. Uchungu wa mume hakuna mfanowe, pole mama!
Back
Top Bottom