Search results

  1. Mr. Marangu

    Wafanyabiashara na wakulima wa Tanzania Usafi ni muhimu

    Kuna jambo moja haliko sawakwenye biashara za mazao ya kilimo, Bidhaa mbalimbali zinazotoka kwa wakulima kwenda sokoni/mlaji, zinawafikia walaji zikiwa katika hali ya uchafu kwa mfano Tangawizi unkuta ina udongo ... Udongo mpaka inapoteza mvuto, ndizi mbivu zina uchafu ulioshikamana, Maharagwe...
  2. Mr. Marangu

    Fiesta ya Clouds iwapi 2023?

    Hawa jamaa mwaka huu wapo kimya, Kwa kawaida harakati zamsimu wao wa fiesta huanza mwezi wa saba mpaka sada tumeifikia october ambapo huwa fiesta inakua inakaribia kuhitimishwa Bila shaka huenda biashara hiyo imeanza kuwashinda. Wasanii wamejitambua wanataka malipo makubwa. Hivyo wameona...
  3. Mr. Marangu

    Wasanii wakubwa walionyimwa heshima waliostahuki

    1. Jay Mo moja ya msanii bora wa hiphop kwa 2010 kurudi nyuma, alikua mbaya sana haswa kwenye featuring moja ya feallturing kali ni baina yake na Ngwair 2. Sugu ni Legend na Godfather wa Bongflave na hiphop alichira njia lakini heshima yake wamekua wakipewa wasanii wengine kama Profesa Jay N.k...
  4. Mr. Marangu

    Wasanii waliokuwa mbele ya muda

    Kichwa cha uzi juu kinajieleza 1. Noorah a.k.a Baba Starz 2. Albert Mangwair "Ngwair" Kama wapo na wengine ongezea ila hawa ni koma kabisa [emoji28]
  5. Mr. Marangu

    Masoud Kipanya na timu yako mmetuangusha kwenye Interview ya Waziri Mkuu Mstaafu Sumaye

    Interview ilipoanza imetunyima kupata taarifa Binafsi za Mh. Sumaye. Hatukuijua familia yake, pia Masoud alikurupuka sana na kuanza kuuliza maswali ya juu kabla ya kumfahamu kutoka chini. Kinachomponza Masoud ni u Genious ambao leo kaumbuka kwani nadhani hakujipanga anajiamini kiasi cha...
  6. Mr. Marangu

    Mikoa yenye Manispaa zaidi ya moja

    Baadhi ya Mikoa yenye Manispaa zaidi ya moja. 1. Dar es Saalam: Temeke, Ilala, Kigamboni, Ubungo 2. Mwanza: Ilemela na Nyamagana 3. Shinyanga: Manispaa ya Shinyanga, Kahama Mikoa mingine ina manispaa moja moja ikiwemo Arusha [emoji38][emoji38]
  7. Mr. Marangu

    Wahenga

    Wahenga wenzangu habarini! Natumaini mu wazima wa Afya, kwa wagonjwa na wenye matatizo ya aina yeyote poleni, Mungu awajalie na kiwapa wepesi wakujikwamua Wahenga mnakumbuka 1. Zamani ukitaka kujua muda unaangalia jua ama inakubidi usikilize radio atleast kwa muda fulani hua walikua lazima...
  8. Mr. Marangu

    Mchongo pesa na Clouds wanajinufaisha na brand za Simba na Yanga

    Kuna katabia ambako huenda viongozi wa Simba na Yanga wananufaika wao binafsu nyuma ya Pazia. Iko hivi... toka Mwaka jana Clouds wamekua na tabia ya kukampenisha matangazo yao ya Bahati nasibu ya MCHONGO PESA kwakuhususha Simba na Yanga. Ieleweke unapotaja Simba au Yanga ni brand ambazo...
  9. Mr. Marangu

    Baadhi ya tuzo za wafanyakazi bora zinafikirisha

    Baadhi ya Tuzo zilizotolewa zinafikirisha, kwa mfano mkurugenzi anapokeaje tuzo ilihali katika taasisi anayoiongoza ina watu zaidi ya 100 ambao wao ndio wanaofanya kazi kwa kutaabika kumenyeka, muda mwingine kuhatarisha afya na maisha yao. Hivyo kwangu mimi kumshindanisha kiongozi wa Taasisi na...
  10. Mr. Marangu

    Tozo za lipa kwa simu mitandao inakomesha wateja au mawakala

    Inavyo onekana mitandao ya simu haiko Regulated kumaintain balnce of fairness kati yake na mlaji pamoja na a mawakala (Agent) Hivi siku za karibuni ukianzia Dec 2022, Mitandao ya simu imekua ikiongeza tozo(charges) kwenye kulipia huduma kwanjia ya simu Kwa mfano kulipia Bidhaa yenye thamani ya...
  11. Mr. Marangu

    Yupo Wapi Barbara wa Clouds Fm

    Ni muda sasa toka mwaka huu uanze hasikiki kwenye kipindi cha Power Break Fast Mwanamama huyu mwenye haiba ya kiburi na jeuiri mbele ya watangazaji wenzie hajasikika, pengine wanaojua watujuze alipo Au ndio keshaliwa kichwa pale mjengoni
  12. Mr. Marangu

    BoT ituletee sarafu ya Tsh 600

    Benki kuu ya Tanzania inafaa sasa wafikirie kutuletea sarafu ya Tsh 600 kutokana na wimbi la vitu vilivyokua vikiuzwa Tsh 500 sasa vinauzwa 600, hali hii imepelekea kuwapo kwa usumbufu wa upatikanaji wa chenchi, hali inayopelekea mnunuzi wa huduma kufikia kisamehe ama kudai kiasi cha chenchi...
  13. Mr. Marangu

    MANARA ANAFUKUZA WAFADHILI PALE YANGA

    Kumekua na utamaduni kwa baadhi ya wafadhili, kufadhili timu hizi pacha kwa wakati mmoja ( Simba na Yanga) mfano mzuri, ni Bia ya Kilimanjaro, Sport pesa CRDB, POSTA BANK(hawa wote wamewahi kufadhili Simba na Yanga kwa wakati mmoja) anacho kifanya manara kwa kukejeli bidhaa zinazo fadhili Simba...
  14. Mr. Marangu

    Waziri Mkuu, watumishi wa umma wanayimwa likizo

    Mh, Waziri Mkuu, Nakupongeza kwanamna unavyochapa kazi wewe na wasaidizi wako kwanzia ngazi ya kijiji mpaka taifa. Naandika makala hii fupi kwa masikitiko kwani watendaji wa ngazi za Halmashauri, wanaonekana kufanya kazi kwa uoga hali inayopelekea kushindwa kutafsiri maelekezo yako kuhusu...
  15. Mr. Marangu

    Meneja masoko TFF mzigo

    Kwenye kipindi cha Asubuhi TBC kulikua na mahojiano ya wageni wawili, Meneja masoko TFF (Mr. Nyanda) na Mtaalamu wa N Card. Sasa kimbembe kikaanza jamaa wa masoko anaulizwa umeiuzaje mechi ya TFF naanza kusema ooh tumezindua jezi... akaulizwa mpaka sasa mmeuza jezi kiasi gani, akasema tusubiri...
  16. Mr. Marangu

    Imekuwaje Kiss FM kuanza kutumia Kiswahili?

    Na declare interest nina muda kama miaka 6 sijawa msikilizaji ama mfuatiliaji wa Kiss Fm, by the time nilipokua nawafuatilia 2014 kurudi nyuma vipindi vingi viliendeshwa kwa lugha ya Kiingereza isipokua cha African beats. Back to mwezi huu wa tisa 2020 nilisearch mara paah Kiss hiyo hapo, ilikua...
  17. Mr. Marangu

    Mpira wenye sheria nyigi duniani

    Sheria za huu mpira zipo zaidi ya 17, nitataja chache nawe ongezea 1. Wenye Mpira sharti acheze hata kama hajui kucheza 2. Mwenye mpira, akiitwa ama akiondoka inakua mwisho mpira/mechi 3. Mwenye mpira ndie anae amua mapigo yote ikiwemo penalty , kona free kick etc Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Mr. Marangu

    Mrema: Wananchi Vunjo wamenifuata nyumbani na kunitaka nigombee Ubunge 2020

    Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Augustine Lyatonga Mrema amesema wananchi wa Jimbo la Vunjo wamemfuata nyumbani kwake kumuomba agombee ubunge wa Jimbo hilo katika uchaguzi utakaofanyika October mwaka huu na yeye amekubali ombi hilo .
  19. Mr. Marangu

    Tofauti ya Shemeji na Shemdarlin

    Kwa wahenga waliozaliwa zama za mawe mpaka mwishoni mwa miaka ya 90 Mke wa kaka yako, rafiki yako ndugu walikua wakiitwa shemeji, Pia Mume wa Dada yako,rafiki au ndugu walikua wakiitwa shemeji Lakini ghafla kibao kimebadilika hiki kizazi cha Miaka ya 2000 kuja 2020's kimekuja na utambulisho...
  20. Mr. Marangu

    Kwanini Lesotho na Comoro hakuna COVID 19

    Licha ya Nchi ya Lesotho kijiografia Imezungukwa na Nchi ya Afrika kusini pande zote, Ambapo Afrika Kusini ndio nchi inayo ongoza kwa visa na maambukizi ya COVID19 bado Lesotho haina visa wala maambukizi ya COVID, Mpaka naandika huu Uzi Nchi ya Comoro kama inavyofahamika ni visiwa ambavyo...
Back
Top Bottom