Search results

  1. K

    Serikali: Marufuku kupiga kelele Maeneo ya Makazi!

    Jaribu kuficha umbumbumbu kidogo ili waungwana wasikushangae.
  2. K

    Serikali: Marufuku kupiga kelele Maeneo ya Makazi!

    Eti saa 8MCH, Uwe unajaribu kuficha ujinga kidogo, kwenye hilo andiko kuna mahala pametajwa adhana au msikiti, au unafikiri walioandaa hili andiko wana akili kama zako.
  3. K

    Sheikh Ponda aachiwa huru

    Uwe unajaribu kuficha ujinga kidogo, ni fujo gani aliyoileta Ponda labda.
  4. K

    Gari aina ya cresta inauzwa

    weka picha na maelezo muhimu hapa achana na mambo ya simu.
  5. K

    Toyota Voxy inauzwa

    Milioni 7 Vipi unachukua?
  6. K

    Mahujaji watano (5) waliotokea Tanzania wamethibitika kufa huko Saudi Arabia

    Nakubaliana na wewe lakini kumbuka: 1. Mkusanyiko wa Hijja unakuwa na mamilioni ya watu, hivyo kunakuwa na msongamano mkubwa, so ajari kama huweza hutokea. 2. Usiogope sana kufa, kwani kufa ni lazima, ila jiombee ufe kwenye sehemu za kheri ukifanya matendo mema na sio sehemu za shwari ukifanya...
  7. K

    Mahujaji watano (5) waliotokea Tanzania wamethibitika kufa huko Saudi Arabia

    Wakati mwingine uwe unaficha ujinga kidogo, Hiyo ni ajari tu imetokea kipindi cha ibada, wewe unafikiri hao wamejinyonga kama mnavyojinyonga kwenye lile kabila lenu.
  8. K

    Mahujaji watano (5) waliotokea Tanzania wamethibitika kufa huko Saudi Arabia

    Allah (SW) atujaalie mwisho mwema kama ndugu zetu, NB: Tutubu madhambi yetu na tumuombe Mungu tusife katika uzinzi, ulevi n.k.
  9. K

    Over 710 people killed, 863 injured outside Mecca in Hajj crush

    Ni sawa, lakini usiogope kufa mkuu, kufa ni lazima, cha kuomba kifo kikukute sehemu nzuri na sio katika uzinzi au ulevi.
  10. K

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa.
  11. K

    Mahujaji 107 wafariki na 238 wamejeruhiwa baada ya winchi kuanguka katika msikiti wa Makkah

    Kama yule mungu wako aliyeshindwa kuzuia wavuta bangi wasimuadhibu pale Islael sio?
  12. K

    Magufuli leo atakuwa hapa Nyamongo

    Aje kunadi sera, akianza habari zake za kutia hofu watu na kututisha, kuwa nchi itakuwa kama libya naondoka muda huo huo, na nitampuuza.
  13. K

    Papa Francis kuifanyia marekebisho sheria ya Talaka

    Acha ubwege wewe, sasa mnalalamika lalamika nini hapa!
  14. K

    Papa Francis kuifanyia marekebisho sheria ya Talaka

    Mafundisho mengi ya Kikristo hayana Uhalisia na maisha ya mwanadamu.
  15. K

    hivi mbona mikutano ya ukawa hawaruhusu kuulizwa maswali?

    Kadri siku zinavyokwenda naona kichaa kinazidi kupanda.
  16. K

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Hivi Slaa anataka nini? mbona naona kama amechanganyikiwa? Ngoja nilale maana sioni cha maana anachoongea.
  17. K

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Hivi Slaa anataka nini? mbona naona kama amechanganyanikiwa? Ngoja nilale maana sioni cha maana anachoongea.
  18. K

    Hii kauli ya Magufuli "Polisi ueni Majambazi", imenitisha sana

    Kwa kauli kama hizi, bado tunakazi kubwa kuhimarisha utawala bora.
  19. K

    Maajabu ya Papa Niang dhidi ya Mwadui FC

    ''Wabongo mnapenda mabadiliko ya haraka bila mipango'' Ndivyo tulivyo, ndio maana sishangai Taifa Stars kuendelea kuvurunda.
  20. K

    Huyu ndiye atakayemchapa flord mayweather september 12, 2015.

    Name: Andre Berto Birth Name: Andre Mike Berto Born: 1983-09-07 (Age:31) Birthplace: Winter Haven, Florida, USA Hometown: Winter Haven, Florida, USA Stance: Orthodox Height: 5′ 6½″ / 169cm Reach: 68½″ / 174cm Boxing Record: (W 30 (KO 23), L 3, D 0)
Back
Top Bottom