Mahujaji 107 wafariki na 238 wamejeruhiwa baada ya winchi kuanguka katika msikiti wa Makkah

Ni uzembe au ajali ? , kama ni uzembe hapo lazima fidia iwe ndeefu ukizingatia na tukio lenyewe lilipo tokea ,daaah ningekuwa mm ningedai share kwenye kisima kimoja cha mafuta kama fidia.
 
انا لله و انا اليه راجعون.
 
Mungu alikuwa kasinzia au vipi mpaka akaachia msikiti wake ukung'utwe na crane? On 9/11 no less?

Au alikuwa anawahukumu Waislamu kwa kutokemea vilivyo terrorism?

Kama yule mungu wako aliyeshindwa kuzuia wavuta bangi wasimuadhibu pale Islael sio?
 
Kinachonishangaza zaidi.....vifo navyo vimetole September 11.....Mungu azilaze mahali pema peponi
 
Kwa hiyo kuna mambo yanatokea bila kuruhusiwa na mungu?

Mungu hana control na yanayotokea duniani? Kuna mambo hajayaruhusu lakini yanatokea?

1.Maswali yako yote yamebebwa na la kipengele cha pili Nitakwambia MUNGU ana control na mambo yanayotokea duniani....ila kwa mfumo aliouweka amempa mwanadamu uhuru wa kuishi na uhuru wa kuchagua.Dunia ina wanadamu na wamepewa waitawale.Ila na shetani pia yupo na kazi yake ni kupinga mazuri yote ya MUNGU.Kwa kifupi MUNGU anacontrol dunia kidemokrasia.
 
Kama mungu ana control kwa nini hakuzuia crane lisiangukie msikiti wake na kunusuru waja wake waliokuwa wanamcha kwenye msikiti huo?

Huyu mungu hana huruma?
 
Back
Top Bottom