Search results

  1. Jachi James

    Wakuu ntampeleka wapi huyu mdogo wangu wa kike?

    Application zinaendelea kupitia nacte, nasikia mda umeongezwa mpka tarehe 31
  2. Jachi James

    Tuliofikisha G.P.A 3.5 MPAKA 4.5 tupongezane hapa

    Kwa mzik wa mechanical ATC unastaili pongezi zakutosha. Hongera kijana wa Eng Masika
  3. Jachi James

    Wakuu ntampeleka wapi huyu mdogo wangu wa kike?

    Kuna vyuo kama arush technical kina dada huwa wanadhaminiwa na serikal kama atafanya course za engineering n vyema ajarbu na huko Note:Ni diploma
  4. Jachi James

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    masaada kafule sec ndugu zangu
  5. Jachi James

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    msaada wadau kuhusu karatu high school dgo kapangiwa CBA
  6. Jachi James

    Kujisikia vibaya kila unapofika wakati wa kwenda kuoga.

    Fanya sana mazoez ili jasho ling likutoke na hapo ndo utakuwa mwanzo wa ww kupenda kuoga
  7. Jachi James

    Nahitaji CM ya Kukunua Android Tecno p3 Nipo Mbeya

    me pia npo mbeya kuna tecno d5 kama unatika n pm
  8. Jachi James

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    nimeshinda mm cyo ww
  9. Jachi James

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    kilaza zaid n yule wa division 5
  10. Jachi James

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wengi mno me naanza kumtaja mmoja ni yule wa wizara ya naniii
  11. Jachi James

    2G into 3G

    Asante kwa maelezo mazur so hata ukiwa software za kuconvert 2g to 3g hazisaidii chochote?
  12. Jachi James

    2G into 3G

    nimekuelewa poa cmu yangu n tecno d 5
  13. Jachi James

    2G into 3G

    Naombeni kufahamu juu ya ili kuna simu inauwezo wa 2g je kuna uwezokano wa kuibadirisha iwe kwenye 3g na kama kunauwezakano naomba msaada jinsi ya kufanya hvyo.
  14. Jachi James

    Aliyechora ramani ya dunia msaada

    Hapo mkubwa umefananisha vitu viwili visivyolingana kabsa yaan
  15. Jachi James

    Mafundi/wataalamu wa Electronics saidia hapa.

    Kwa kufanya hvyo jua kuwa unapungua huai na ufanyaji kazi unaostahili kweny kifaa chako ni vyem kufuata maelekezo ili kifaa chako kidumu kwa mda mrefu na kifanye kazi ipasavyo
  16. Jachi James

    msaada: nimesahau password

    Ni sawa ila hyo unakubal kama administrator account haikuwa na password ila kama ilikuwa nayo itakataa unaweza tumia software ya kutoa password ambyo inakuwa kwnye CD cha muhimu unaset boot order ya kwanz iwe CD me software unaweza kugoogle "password remover software " then download na kuburn...
  17. Jachi James

    Naombeni msaada kwa wanaojua

    Asnt kwa msaada
  18. Jachi James

    Naombeni msaada kwa wanaojua

    Processor ina 2.0 ghz
  19. Jachi James

    Naombeni msaada kwa wanaojua

    Window 8 inaweza kuwekwa kwenye computer yenye RAM ya 1GB ???
Back
Top Bottom