Search results

  1. T

    Wakenya wamezidi na Sheng' kiswahili

    Napata tabu sana ninapoongea na wakenya, haswa wale ninaojua wana elimu hadi ya Chuo kikuu au kidato cha nne. Lakini hawajui lugha kabisaaa, Unasikia SASA? Anamaanisha salaam, au Au unamwambia salimia wote nyumbani anasema WATASALIMIKA...Je hiki ni kiswahili sahihi?
  2. T

    MIGOGORO KENYA...Mh. MOI UPO?

    Nashangazwa na Siasa ya Kenya hasa pale walioko juu kuongoza Kenya hii kugombea Madaraka, Mzee Moi ushauri wako uko wapi? RailA MwaI si wanao hawa Baba? Mzee Kenyata saidia Kenya itararuka hivi Punde. Jamii Ya Africa Mashariki tusaidieje hili swala? Naomba mchango wenu wapenda amani ka...
Back
Top Bottom