Search results

  1. M

    Imenibidi...

    Wanajamii za leo jamani, Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya...
  2. M

    I seems to be boring

    Hello my dears Wana JF, Napenda kuelimika katika hili swala, na hisi kuwa huwa na bore hubby kutokana sijui ni mazoea au sijui cha kuongea naye! Nifanye nini ili nisiwe na mbore, maana mimi nadhani nimkimya sana inaweza kupita masaa manne hatujaongea kitu, na sipendi kuongea pumba nikaonekana wa...
  3. M

    Swali kwa wanandoa

    Za leo wanajf, Hivi utamtambuaje mwanamme akupendae...especially for quite Man. Am in dilema with my marriage. Wakunisaidia wanisaidie am serious.
  4. M

    Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

    1: Za leo wandugu, naomba kuuliza na kutaka kujua. Mimi niko kwenye ndoa ya kama miaka 2 sasa. Kwa kweli imekuwa na furaha zake pia ni vikwanzo vingi. Imefikia sasa mimi najishangaa sana kuwa nimeishiwa hamu kabisa na mme wangu na ninamuona mbaya sana. Nakaa na kujiuliza ilikuwaje mpaka...
  5. M

    question

    Jamii Forum members hamjambo? Nimefurahi sana kupata hii site, kwa kweli inaniburudisha sana. Swali langu leo nilikuwa nauliza hivi, Je is it right for a hubby to open letters or any document of his wife while himself anapenda kuficha sana mambo yake. Kuyajua nimpaka utumie nguvu za ziada...
Back
Top Bottom