Search results

  1. N

    Msaada

    Jamani naomba mwenye kujua ada ya post graduate diploma ya education na if usajili umeanza na kozi zinazosomwa kwa mtu Wa BA Economics .Ni kwa Open University of Tanzania plzz
  2. N

    Open University of Tanzania

    Ndugu zangu naomba mwenye kujua anisaidie kuhusu ada ya post graduate diploma ya education Open na kama wameanza udahili pia na courses za kusoma kwa mtu Wa BA Economics.
  3. N

    Msaada

    namba ya kulipia Azam TV via mpesa nitakosa match ndugu zanguni yeleuiiii
  4. N

    Naogesha mtoto

    Waungwana majibu haya yatasababisha ugomvi: Ilikua jmos niko pande za majengo moshi napata Noah ugali bhana meza ya karibu jamaa naye WA gereji ya karibu na maeneo hayo alikua anapata kitimoto( Noah) choma na ugali; jamaa akamsabahi vipi bwana naona unapiga ugali hapo majibu aliyopewa saaa...
  5. N

    Ajira ya shilingi elfu tisini(90000)

    Hivi inawezekana kweli taasisi itangaze kazi kwa mshahara huu tena bank kubwa jamani hivi ni makusudi au ni dharau. Naomba mnisaidie watu wa sales ndo mishahara yenu hiyooo
  6. N

    Huduma mbovu Usangi Govt Hospital

    Niko hospital ya wilaya ya mwanga usangi govt hospital hali inasikitisha huduma hazitolewi wahudumu wanaingia na kutoka ofisi nimekaa masaa matatu hamna huduma. Kuna mama kaja na mwanaye anatapika damu kakaa mpaka kaamua akawalile madaktari wanaopiga story still bado ..... plz kama kuna mgomo...
Back
Top Bottom