Search results

  1. Zikwe

    Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi

    Habari Wana JF, Kama Kichwa Kilivyoeleza. Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi Na Mgahawa Kwa Kupanga Na Ikiwezekana Tuma Na Picha Ya Eneo Lenyewe tuje tuingie Mkataba. Haya ndo Maeneo Ninayoitaji Eneo Hilo Liwepo; i) - Sinza ii) - Kinondoni iii) - Magomeni !v) - Mbezi Karibu na Magufuri...
  2. Zikwe

    Simu yangu camon 16s inazima light wakati wa kupiga

    Mda Mwingine Tatizo Hilo Husababishwa Na Sensor Kuzibwa, Hivyo Kama Simu Yako Ina Screen Protector toa Iyo alafu Angalia Ilo tatizoKama Lipo.
  3. Zikwe

    Unahitaji mpishi mzuri wa chakula kwenye shughuli yako. Usiache kupita kwenye huu uzi

    Safi sana. Kitu Ambacho Nimefurahi Kusikia Ni kwamba unafanya Kazi Ambayo Unaipenda, Anyway Nimekusikia Kama Zitapatika a nafsi Tutatafutana
  4. Zikwe

    Unahitaji mpishi mzuri wa chakula kwenye shughuli yako. Usiache kupita kwenye huu uzi

    Sijakuelewa Hapa Ulikuwa unamaanisha Nini..!?
  5. Zikwe

    Unahitaji mpishi mzuri wa chakula kwenye shughuli yako. Usiache kupita kwenye huu uzi

    Swali Nzuri Sana. Nikili Na Nakubali kwamba Kweli kuna Baadhi Wapishi Huondoka Na vyakula Kwenye Shughuli ya Mtu Na binafsi Sipendezwi na Hili Swala kwani Linachafua Sekta nzima Ya Upishi Wa vyakula Shughulini. Na Ukija kwa upande Wangu Moja Ya Kitu ninachozingatia Ni Uaminifu Na Weledi Kwenye...
  6. Zikwe

    Unahitaji mpishi mzuri wa chakula kwenye shughuli yako. Usiache kupita kwenye huu uzi

    Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana. TUPIGIE SASA 0657 33 2814 Ukiwa Na Shughuli yako Yoyote Ile Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation, Private...
  7. Zikwe

    Nilivyoingiza 17.6M ndani ya mwaka mmoja na nusu, kwa biashara ya Mgahawa kwa mtaji wa kawaida kabisa

    ๐‚๐‡๐€๐Š๐”๐‹๐€!! ๐Ÿ๐Ÿ‰๐‚๐‡๐€๐Š๐”๐‹๐€!!๐Ÿ— ๐‚๐‡๐€๐Š๐”๐‹๐€!! ๐Ÿฅฅ๐‚๐‡๐€๐Š๐”๐‹๐€!!๐Ÿ” ๐‚๐‡๐€๐Š๐”๐‹๐€!!! ๊งเผ’โ˜ฌ*๐“ค๐“ผ๐“ช๐“ฏ๐“ฒ ๐“๐“ช ๐“’๐“ฑ๐“ช๐“ด๐“พ๐“ต๐“ช ๐“’๐“ฑ๐“ฎ๐“ท๐”‚๐“ฎ ๐“›๐“ช๐“ญ๐“ฑ๐“ช ๐“๐“ญ๐“ฒ๐“ธ ๐“œ๐“ผ๐“ฒ๐“ท๐“ฐ๐“ฒ ๐“œ๐“ด๐“พ๐“พ ๐“ฆ๐“ช ๐“š๐“ช๐”ƒ๐“ฒ ๐“จ๐“ฎ๐“ฝ๐“พโ˜ฌเผ’๊ง‚ ๐Š๐ฐ๐š ๐Œ๐š๐ก๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ฒ๐š #๐Œ๐๐ˆ๐’๐‡๐ˆ๐ˆ ๐–๐š ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ข๐ค๐š ๐Š๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐’๐ก๐ฎ๐ ๐ก๐ฎ๐ฅ๐ข ๐ฒ๐š๐ค๐จ Au Mgahawa ๐˜๐ฎ๐ฉ๐จ ๐‡๐š๐ฉ๐š.๐Ÿ˜Š ๐๐จ๐ฉ๐จ๐ญ๐ž ๐ฉ๐š๐ฅ๐ž ๐ญ๐ฎ๐ง๐š๐ค๐ฎ๐ฃ๐š ๐ค๐ฎ๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐š ๐ค๐š๐ณ๐ข. ๐“๐ฎ๐ง๐š๐ฉ๐ข๐ค๐š ๐๐ˆ๐‘๐ˆ๐€๐๐ˆ, ๐๐ˆ๐‹๐€๐” ๐Š๐”๐Š๐”/ ๐๐˜๐€๐Œ๐€, ๐๐˜๐€๐Œ๐€ ๐‚๐‡๐Ž๐Œ๐€, ๐’๐€๐Œ๐€๐Š๐ˆ...
  8. Zikwe

    Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

    Nitashukuru Sana Na Hakika Bidii itakuwa kubwa zaidi Kwenye kazi Ili kuona tunafika mbali Zaidi...
  9. Zikwe

    Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

    Asante Sana๐Ÿ™, Ni kweli na ni moja ya vitu ambavyo natamani nivifanye ila kama alivyosema ndugu Mwifwa Nafikili Nikazie Kwenye point yake.
  10. Zikwe

    Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

    Asante Sana, Ni Ushauri Mzuri sana Na Hakika Unafaa na sio wa kupuuzia, Lakini Niliwaza Kulingana na Aina ya vyakula Ninavyoweza kupika, Kila chakula kina maelezo yake na Bei zake hivyo nikaona nimpe mteja uamuzi wa kuchagua aina ya chakula anachoitaji alafu mimi nitamwambia gharama zake au...
  11. Zikwe

    Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

    Habari Zenu Wakuu. Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi. Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY...
  12. Zikwe

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    CHAKULA!! CHAKULA!! CHAKULA!! CHAKULA!! CHAKULA!!.. Napika chakula Kwa Oda Kwenye Shughuri yako Yoyote iwe HARUSI, MSIBA/HITMA, KITCHEN PARTY, SEND-OFF, BIRTHDAY PARTY, GRADUATION PARTY, VIKAO VYA KAMPUNI/HARUSI/PRIVATE n.k Popote pale tunakuja kufanya kazi. Pia Ukitaka tuwe tunapika na...
Back
Top Bottom