Mwambie una bleed leo.. Akuvumilie ,
Huyo mwanamke hajaolewa na jamaa, ww piga then usimwambie jamaa direct ila uwe unamsisitiza jamaa asimuoe huyo dada...
And it seems huyo mwanaume ni mdogo kwako... And i guess kuna factor nyingine zimemfanya asiwe na ww... Let it go,
Live to fight another day, yeye sio wa kwanza wala hatakuwa wa mwisho
Naona weng waliochangia ni wanawake, ila ni busara pia wanawake wajue kuwa kila mwanaume ana udhaifu wake , wengine tamaa wanazo ndogo na wengine zinakuwa kubwa, na jamaa kama huyo akichanganya na pombe tamaa zake hazikamatik...
Kwahiyo Ni bora mfanyakaz aondoke aende sehem nyingine...
Jamaa ana point, tusimkashifu kwasababu amemchungulia ila kama kuna mtu anawazo la jinsi gan ya kumwambia wife ndio ampe,
Mm nadhan jamaa aongee na wadogo zake wowote wa kiume ama rafik wa karib wa jamaa wa kiume, then indirect huyo rafik ndio aje amuambie wife .... I hope na wife atashtuka na...
Its okay to fall in love, but sio vizur kwenda that far, ww una mtu wako, stick nae, kama unamtaka huyo bint sio lazima uwe nae kwake, nenden lodge ..and huyo dada kakutana na ww siku chache ashakuambia mambo yake, pengine ameshawaambia watu weng sana, na ww ni mmoja wapo, so stkuta, gonga kama...
Wanaume Halisi au wanaume wenye uwezo kifedha?,... Pia fikiria hapo kwenu wanaume wangap halisi based na idea yako, kaka ako?, anko zako?, mmmh! Babu yako pia alikuwa halisi...😎😎😎😎
Mmmh mbona watu mapovu yamewatoka sana.... Inawagusa ukiona hivyo, hailet picha nzur mtu una miaka 40 bado una girlfriend, kha!!! Ujana gan unakula mpaka muda huo, na nani kakuambia ukioa ndio kula ujana kunakwama???, may be kama kula ujana ni kulala na malaya..... All in all akil za maisha...
Mbona kama umepanic braza.....😎😎😎😎😎😎, ukiwa na hela na hauna akili utasoma IST, ila ukiwa hauna hela wala akili huwez soma hizo shule tajwa, ...na ukiwa huna hela ila una akil utasoma hizo shule pia....
Mm ishawah nitokea mara mbili, japo kwangu ni wadada, maana nipo mid 20+yrs, ila kadri siku zilivyozid kwenda nikagundua kuwa walikuwa na ujauzito , na ni ujauzito ndio ulinipenda na sio wao, so sometimes mwanamke akiwa na ujauzito kuna kitu chake anataman na atafanya kila awezalo kukipata...
Kwa mfano , in worst scenario, ukakutana na wasichana 2, mmoja flat na mwingine Chogo , alaf ukakuta wote hawana akil kichwan , we utamchagua yupi?, Men weng hatupend wanawake wanao lala na wanaume weng, obvious huyo mwenye Chogo hafai Kuwa mke coz atakuwa anagongeka kirahis...,
Will go for flat ,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.