Anasema nimuamishe alipopangishiwa na mpenzi wake na nimpangie sehemu nyingine ili tuwe huru!

Si umpangishie one itakuaje?
Sasa sie tutajuaje mambo ya kesho? Kwamba atamrudia au ataachana nae sie hatuwezi Jua
As long umempenda jaribu uone.
Hakuna kitu cha bure .
Walime wengine we uje uvune hivihivi sio?
Na huyo mdada si amuage Tu kiroho safi mzee Wa watu ? Kweli fadhili mbuzi utamnywa supu binadamu???
 
Nashukuru sana kwa michango yenu tena asanten sana ,mchumba niliyekuanaye ni mwalimu anafundisha mbali kidogo na nilipo mimi,na zana yangu haikua kumuoa lakini yeye anatumia nguvu nyingi sana kulazimisha nimuoe.
 
Nashindwa kutoa ushauri maana hujielewi. Umesema una mchumba halafu tena tukushauri kuhusu mwanamke mwingine ambaye si mchumba wako ni mali ya mtu mwingine. Kwa maana hiyo ni kwamba umwache mchumba wako ili umwoe huyu unamvizia? sasa unataka ushauri gani wakati ushamtongoza na umemwambia unataka umwoe. Lkn ngoja nitoe ushauri kidogo itakufaa ukizingatia. Achana na huyu mwanamke maana nyumba anakoishi imegharamiwa na mwanaume mwingine si wewe, shule kasomeshwa hadi chuo pesa hujatoa wewe. Unadhani huyo mwanaume atakuacha salama? baki na mchumba wako mfanye mipango ya kuoana mwache kabisa huyu dada. La sivyo utajuta kumfahamu huyu dada.
 
Nashukuru kwa mchango wako ,ila sikumueleza kwamba nataka nimuoe ,ila yeye analazimisha hill.
 
Ni kweli huyo binti anakupenda. Na hata wewe tukiacha unafiki unampenda vilevile sema tu unataka kumung'unya maneno.
Sasa nisikilize kwa makini.
Kwanza lazima ufikirie huyo mwanaume mwingine akigundua mahusiano yenu atachukua hatua gani? Na je wewe umejipanga vipi kwa maamuzi yake!! Kwa sababu penzi kikohozi kulificha hauwezi. Mtabainika tu.

Pili hata kama utakuwa naye huyo demu, basi fahamu ni mtu ambaye hana msimamo katika mapenzi na anaweza kuuza utu wake ili apate kitu flani. Hilo LITAMBUE!!!. Mfano ndo huo aliokuonyesha. Jasiri haachi asili!!

Tatu huyo mpenzi wako unayetaka kumsaliti. Kama unaona ana mapenzi ya kweli kwako kisha wewe unataka umfanyie ndivyo sivyo basi hiyo dhambi itakutafuna. Nami nasema IKUTAFUNE!!! Usiache mbachao kwa msala upitao.

Nimalize kwa kusema kwamba, Mapenzi majani, huota yanapotaka. Amekupenda sawa. Lakini kwa usalama wa maisha yako na mazingira yalivyo yakupasa ujiweke pembeni. Hata kama hampendi sawa lakini huna mamlaka ya kuiba penzi la watu ambao wenzio wanagharamia.
 
Haya ndio maisha halisi yw Waafrica tulio wengi, una mchumba lakini bado unatafuta mchumba mwenye mchumba, hahahaha, it's amazing kwakweli
 
Nashukuru kwa mchango wako ,ila sikumueleza kwamba nataka nimuoe ,ila yeye analazimisha hill.

kwa mtazamo wangu naona unampenda sana huyo bi dada ambae n mke wa pili wa mtu so fanya vile ambavyo akili yako inakutuma maana hamna namna tena.
 
Duh........aisee........

umesema una miaka mingapi tena.......?........mesahau.......
 
ushauri wangu "achana nae kabisa. hilo ni tego". utakuja kujuta
 
Nashukuru sana kwa ushauri wanu,kweli nimeamina hapa ni kwa Magreat thinkers
 
Una miaka 33
Una mchumba....
Bado msichana wa mtu anakusumbua akili....

Mchuma kiranga hula na watue...endelea kukitafuta kiranga chako.

Wazee wa fursa mpo? Mshacheza na wadada wangapi (i.e kuwatokea)
 
Pia Binti ameniomba ushauri afanyaje ili aachane na huyu mzee maana amechoka kuishi katika maisha haya na umri wake unazidi kwenda.
 
Si una mchumba?!!! sasa kichwa kinakuuma nini, maana kwa uelewa wangu hapo ulitaka kuchepuka tu...
 
Sioni kama kuna mke hapo,jee kwa umri ulio nao je unahisi anavyotaka kufanya huyo binti ni sawa? ikiwa anamuacha alie msomesha kwa sytle hiyo wewe atakuwachaje? tuamia akili kwenye kufukiria Mkuu sio MOYO...
 
Huyu Binti haja elewana kuoana na huyo mzee ni kwani mzee a memwambia hawezi kumuoa kama mke wa pili kwa sababu ana mke wake na watoto 4
 
Its okay to fall in love, but sio vizur kwenda that far, ww una mtu wako, stick nae, kama unamtaka huyo bint sio lazima uwe nae kwake, nenden lodge ..and huyo dada kakutana na ww siku chache ashakuambia mambo yake, pengine ameshawaambia watu weng sana, na ww ni mmoja wapo, so stkuta, gonga kama unaweza, songa mbele na Mtu wako...
 
Back
Top Bottom