Search results

  1. TYPIN ERRAH

    Changia elimu kuwasaidia wengine

    Habar wakuu humu ndani... Mimi ni mdau wa elimu katika shule ya sekondari kwemdimu iliyopo wilaya ya Korogwe. Tuna shida ya vitabu upande wa somo la elimu ya dini ya kiislamu kwani tuna idadi ya wanafunzi zaidi ya mia tatu lakini tuna vitabu vinne tu kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha...
  2. TYPIN ERRAH

    Maisha maishani

    Jamani tupeani connection za kusaidiana maisha sasa ni magumu sana lakin kuna watu tukisema maisha magumu mnahisi ni ndoto jaman tusaidiane watu wakati mwingine tunadhalilika kwa vitu vidogo sababu ya pesa tu..... Tufundishane jinsi ya kuvua samaki kuliko kupeana samaki
  3. TYPIN ERRAH

    Uchumba ni kipindi uchunguzi, matazamio

    Uchumba ni kipindi uchunguzi,matazamio juhusu mwenza umtakae kuwa mkeo wa baadae..... UTARATIBU Kijana katika kipindi hiki ni muhimu sana kufanya uchunguzi wa siri kabla ya kufanya uchunguzi wa wazi kivipi na kwa sababu gani? Unaweza ukafuatilia mwenendo wa msichana kwa siri bila yeye mwenye...
  4. TYPIN ERRAH

    Salam

    Hellooo! Wanajf
Back
Top Bottom