Search results

  1. Curious Naturally

    Malawi: Balozi Polepole akagua gwaride la kijeshi

    Na unaeza kuta wala hawana ugomvi[emoji3][emoji3][emoji3]
  2. Curious Naturally

    Wamasai Waliokamatwa Ngorongoro wafunguliwa Kesi ya Mauaji

    Nimeona kwa Askofu Mwamakula; wapo 20 wote wana kesi moja
  3. Curious Naturally

    Mafuta ya kupikia bei juu, Chips bei ile ile!

    Sasa hivi tunatumia mafuta ya nguruwe; yale hayaishi; yanaongezeka tu ukiweka Tafiti kwenye wanapochinja nguruwe utapata majibu yote
  4. Curious Naturally

    Ni ngumu sana kwa mtu smart kufanya haya...

    Huna hela unapata uthubutu wa kuongelea “u-smart” wa watu Mfyuu
  5. Curious Naturally

    Nguruwe wangu amezaa lakini maziwa hayatoki na watoto wanahangaika njaa. Nifanye nini?

    Pole ndugu. Tafuta kampuni wanayozalisha chakula cha nguruwe; kinachoitwa “Pig Lactating mash”. Hiki kinamfanya mama nguruwe anakua na maziwa mengi. Pia vitoto vya nguruwe vikifikisha siku 15; anza kuvipq chakula wanachoita “Creep Feed” kinasaboost wanakua haraka sana. Kwa emergency ya hii...
  6. Curious Naturally

    Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 9, 2022

    Nashauri Baada ya hii kesi Maxence Melo pamoja na team yako hizi thread mziunganishe vizuri; muandae kitabu kwa ajili ya future generation. Hii tu sio shule tosha kwa wanafunzi wa sheria; bali pia kwa watu wanaifatilia kesi mahakamani; pamoja na wanaharakati
  7. Curious Naturally

    CHADEMA watueleze US$100,000 walizopewa na OpenSociety Nairobi kwa ajili ya kesi Mbowe zipo wapi?

    Tupo jopo la watu tumepitia post zako hapa; tume-conclude una “ushambenga uliokubuhu” Hayakuhusu Ova
  8. Curious Naturally

    Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

    Una namba yenye mpesa? Nina laki yako hapa
  9. Curious Naturally

    Nataka Computer complete kuanzia RAM 2 na hdd 250

    150,000 labda ununue sabufa, sio laptop
  10. Curious Naturally

    Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Just imagine waajiri Airtel wapo wanafatilia umahiri wa Meneja mbele ya kina kibatala[emoji3][emoji3][emoji3]
  11. Curious Naturally

    Ukiwa na miaka 45 bila nyumba jitafakari

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  12. Curious Naturally

    Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Teknolojia mpya hii ya ujenzi wandugu..wenye experience tafadhali..naona hawatumii tofali
  13. Curious Naturally

    Shahidi aieleza mahakama Sabaya alivyokuwa akiishi na Shoga

    Bado ulichoandika ni cha kitoto sana. Kwa mtoa rushwa walifikia wapi?
Back
Top Bottom