Search results

  1. M

    Masharti haya ya ajira yana nia njema kweli kwa waomba kazi? Yana ulazima?

    Ndugu yangu ukiona hivyo hizo nafasi zishajazwa kilichobaki ni kukamilisha formalities tu hii ndo nchi yetu bhana
  2. M

    Sheikh Ponda ahamishwa toka Muhimbili kwenda Hospitali ya Magereza Segerea

    Sasa jeshi la Polisi linaanza kutoa kibali cha maandamano asmi
  3. M

    Sisi Watanzania ni wanafiki sana

    so una uhakika kuwa Ponda kapigwa kwa sababu ya Urundi wake??na je ulipata kusikia alichokisema pale Morogoro?lakini Ponda huyu si anaishi DAR na Polisi inafahamu hadi kwake sasa ya nini kutumia nguvu nyingi kiasi hicho kumkamata Ponda.Napenda jeshi la Polisi lifanye kazi yake lakini isiwe kwa...
  4. M

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    sasa kodi yetu inataka kutumaliza mchana kweupe,hii haivumiliki hata kidogo....lazima ifahamike nani ana haki ya kuishi Tanzania?
  5. M

    ushauri: nataka nirudie mwaka kwa kudrop computer engineering niende civil

    kama unataka ajira pana ni bora uende education kijana
  6. M

    KATIBA Mpya haitamruhusu Profesa Ibrahim Haruna Lipumba kugombea urais, CUF mwafa

    ukiona kwa mwenzio kunaungua ujue kwako kunateketea,mtoa mada huu ni utashi wako hatuukatai lakini kwa namna nyingine ungetupa maelezo ya yule mchungaji mgombea urais wa Chadema na harakati zake kanisani
  7. M

    Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA akamatwa na Jeshi la Polisi.

    Hii style ya maandamano na kusababisha sintofaham kwa raia wengine haina mantiki kabisa,hebu wapinzani tuje na mbinu mpya ya ku tackle problem za wapiga kura wetu,nakumbuka mbinu hii tullitumia miaka ile ya 1995 tukiwa na NCCR-Mageuzi kisha ikahamia TLP na baadae ikatumiwa na CUF lakini...
  8. M

    Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Victor ndiye aliyembeba mlipuaji kama abiria wa boda boda

    Naam hivi ndivyo Watanzania tunavyoipoteza amani,tunakubali kulishwa maelezo laini laini tu,hatuumizi vichwa vyetu kutanzua msingi wa matukio haya..na ni hivi hivi habari hizi zitapotea kama moshi angani
  9. M

    Arusha haikulengwa dini...

    Akili ya mbayuwayu changanya na yako....time will tell kila kitu kitakuwa wazi suala la kuomba ni uzima kwa waliojeruhiwa na amani ya milele kwa waliotangulia mbele ya haki
  10. M

    Dr Slaa na timu yako, watu wa Lushoto wamekukosea nini?

    Jamani na sie Wapemba twaisikia tu hiyo cdm,tumeikosea nn yarabi,mje basi walau kutujulia hali
  11. M

    Tunashuhudia amani kwa mara ya mwisho Tanzania

    Watanzania wenzangu tuichunge amani ya nchi yetu kama mboni ya jicho letu,tusishawishike wala kurubuniwa na walafi wa madaraka na uchu wa rasilimali tuliyo nayo. Wahenga walituusia kuwa kama hujui kufa chungulia kaburi,tuna mifano mingi ya athari na madhira makubwa waliyopata jirani zetu wa...
Back
Top Bottom