Search results

  1. willzkichaa

    Usalama wa simu zinapoibiwa, tuwe makini

    Habari wana jamvi, kiukweli nimesikitishwa sana na jambo lililonikuta hivi karibuni. wiki iliyopita nlipoteza simu yangu ya mkononi aina ya SONY Xperia katika mazingira ya kutatanisha. Hata hivyo ilikua ndani ya daladala nlikurupuka na kutoka haraka baada ya kukumbuka kitu na baada ya dakika...
  2. willzkichaa

    Viazi vitamu vya kuchemsha na nazi

    Habari wapendwa! Hapa naomba ku sharevaina nyingine ya chakula cha ki- bachelor na cha fasta kidogo. Naamini sio muda wote unakua na mood ya kupika ila unakuta una nenge/gwanda/njaa na ukahitaji msosi wa fasta na pia ukizingatia vitambi na presha tunaziepuka. Leo nawaletea pishi la haraka na...
  3. willzkichaa

    Napenda SERIES ila hii...

    Habari za jumapili wana jf. Mimi ni mmoja kati ya wafuatiliaji wa series. Hasa nzuri na za kuvutia. Samahanini ila kuna huyu mshenzi anaitwa JERRY BRUCKHEIMER ameyengeneza serie inaitwa Hostages iliyoigiziwa huko marekani. Kiukweli im very disappointed. Serie ya kipumbavu na haina maana...
  4. willzkichaa

    Codes for Mobile Antivirus

    Msaada! Kuna myu anajua codes za mobile anyivirus yoyote. Either avast au Kaspersky.
  5. willzkichaa

    Whats Free in Mobile Antivirusez?

    Polen na majukumu. Nna kitu kinanitatiza. Hivi hizi anti-virus za bure za kwenye simu za Android zina msaada wwte? Hizi android zinaweza kua attacked na virus?
Back
Top Bottom