Search results

  1. Iwindi_Mbalizi

    Mawazo yenu tafadhali, nakaribia kuacha kazi

    Ushauri wa #63 kipengele namba mbili ni best kwako, omba kwenda shule kujiendeleza Dar au Pwani isiwe ngumu sana ukiwa huko hiyo miaka jipange na unachotaka ikiwemo kuhama, kubadili kazi, kuacha n;k
  2. Iwindi_Mbalizi

    Nina 3.5ml.Mwenye ka gari ka thamani hiyo aniuzie bandugu.

    Cheki na kijana mmoja 0657 545487 atakusaidia vyema kwa shida yako
  3. Iwindi_Mbalizi

    Majibu ya HIV yenye utata

    Mkuu Rufaa Mbeya hawezi kosa hujauliza vizuri nenda uulize vizuri...jaribu uliza kitengo cha CTC pale watakupa right information...Rufaa Mbeya ni kituo kikubwa sana kwa swala la HIV/AIDS management maana hata dawa mpya zinafanyiwa hapo utafiti na pia kuna Bank ya Damu yaani it is impossible...
  4. Iwindi_Mbalizi

    Majibu ya HIV yenye utata

    Nenda ktk kituo chenye hiyo ELISA ndiyo ikupe majibu ya uhakika...pia katika center kubwa kama Hospital za Rufaa watakupeni huduma iliyo sahihi zaidi.Pia Ushauri nasaha wa kutosha unatakiwa hasa kwa huyo mke mtarajiwa....kwanza kama ana umri mdogo inawezekana pia alipata toka kwa wazazi na...
  5. Iwindi_Mbalizi

    Jaman nina upungufu wa White Blood Cells mwilini nitaziongezaje??

    Kama kweli ulienda tu kupima afya na ukakutwa majibu ni hayo napenda kukupa hongera sana maana ni Wa Tanzania wachache tunawaza kwenda pima.ila bado nina imani kama ulikutana na Doctor lazima alikushauri upime na vitu vingine zaidi ya hiyo FBP...je umekuwa na mafua ya muda mrefu ambayo huwa...
  6. Iwindi_Mbalizi

    Ikulu haikujiandaa na ziara ya Rais wa China

    Hii Nchi yetu ya ajabu sana,mi ni mmoja wa iliowapeleka CHina kusoma na tupo wengi Kichina tunajua vizuri na Wachina tunawajua sana.But hii Serikali haijawahi fikiria hata kututumia kwa njia yoyote ile.Huwezi amini Ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Beijing hakuna hata mfanyakazi mmoja anayejua...
  7. Iwindi_Mbalizi

    Wanahabari watashabikia CHADEMA dhidi ya Usalama wao?

    Mleta mada sijui umelenga nini maana sijui kama hayo ya chadema yaliyoripotiwa yana kasoro zozote kama yana kasoro basi ungeyakosoa.Mi nadhani kama wandishi wana ripoti ukweli si kosa whether ya chadema mengi au mazuri.Ni vyema ukatambua kuwa pengine wakiacha kuripoti hayo ya chadema ndiyo...
  8. Iwindi_Mbalizi

    Malipo ya Tiba Muhimbili sasa ni kupitia NMB

    Anyway this will bring about a big mess...Yaani Doctor kila siku akiwa anafikiria fanya kipimo kinacchohitaji kulipiwa gharama mpya ndugu/mgonjwa ataziweza foleni za NMB na ku meet treatment arrangements zilizowekwa????!!Anyway kama huo mpango hauna maelezo zaidi ya hayo yaliyowekwa hapo juu...
  9. Iwindi_Mbalizi

    Nyumba ya kununua Mbeya

    mi naishi Block T currently sijauliza inayouzwa but if mtu seriously anahitaji nimsaidie pm me....
  10. Iwindi_Mbalizi

    Any House to Rent in Mbeya for Business?

    Haha!Acheni kunichekesha,hawa mimi ni ndugu zangu nimeishi nao na nawakubali sababu mtu Elimu Chini ya Darasa la saba lakini anaweza panda ndege akaenda hata China na akatumia kila njia wasiliana na Mchina na akarudi TZ na kumuuzia vitu hivyo mtu mwenye PhD ya Business...lazima tufanye utafiti...
  11. Iwindi_Mbalizi

    Any House to Rent in Mbeya for Business?

    Jamani naomba nisaidiwe kama kuna mtu yeyote anaweza nisaidia nipateje Chumba cha kufanyia Biashara yoyote ndogo na mpya kwa Mbeya.Si lazima sana iwe City center lakini eneo lililokaribu na barabara muhimu au iliyo karibu na Institution kama za shule na vyuo itakuwa safi. Nitashukuru kwa...
  12. Iwindi_Mbalizi

    Nyumba ya kupanga Maili Moja Kibaha-Pwani

    Sijakupata vizuri details zako PM me nikielewa vizzuri I think I might be interested into hii kitu.
  13. Iwindi_Mbalizi

    TAX Free Goods....

    I'm not Clear With Goods which are Tax free when Importing in Tanzania,Which Of these Electronic Goods are Tax free to be Imported in Tanzania: Computer,Computer Accessories,Flash Disk,Mobile Pohnes,ETC Wana JF Naomba Msaada please!!!!
  14. Iwindi_Mbalizi

    China products should be banned!

    MwanajamiiOne Naamini kila mtu hafurahii kwa uingizaji wa vitu vibaya na hasa vinavyoweza dhuru afya zetu.Lakini Solution unayopendekeza binafsi naona ni haiwezekani maana uki ban goods zote zinazotoka China maana yake ni kuwa humtakii mema Mtanzania wa kawaida, maana ukifanya hivyo utataka...
  15. Iwindi_Mbalizi

    Nigeria: The Asian Surge And the Country's Dilemma

    Hii ni Article ya Jamaa MNigeria mwenye uchungu na mwenendo wa nchi yake and the I think is the same case with our Country!Kila siku tunapiga kelele na Kuchekana kuwa wachina wanaleta vitu feki lakini hakuna hata juhudi yoyote tuliyo ionesha ya kwetu binafsi kutatua matatatizo yetu ili tuepukane...
  16. Iwindi_Mbalizi

    Wakenya na hisa za crdb

    Ukweli ni kuwa bado tuna kazi ya kufanya,Nilikuwa nyumbani February na nikafungua Account pale ii wanipe ile card yao na the promised to give me after less that 3 weeks,But from 12 February up to now they say not ready and I call even the branch(Lumumba) manager he is telling me many people have...
  17. Iwindi_Mbalizi

    Need Job Vacancy

    My sister is a hard working girl,she finished Dar University last yr May ... BCom in Marketing...anybody see a chance somewhere please can send message at iwindimbalizi@yahoo.com she is in Dar right now and she has a home to stay. Iwindi_mbalizi
  18. Iwindi_Mbalizi

    Naomba namba ya Simu ya Dar Express Bus

    Dar Express Boss mkubwa 0784-276060 Boss mdogo 0786-262924 haha Mambo ya Contacts hayo...unahitaji Contacts nyingine? pamoja na kuwa nipo China sijasahau sana mambo ya home...
  19. Iwindi_Mbalizi

    Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

    Mh mimi nilishaishi Masaki nafikiri But nilikaa term moja tu ya kwanza ya Form V nikamkimbia Mzee Mwaipaja na kurudi kijijini kwangu Mzumbe Sec...Mwaipaja alinibishia kweli kuhama lakini nilibisha maana nilishazoea mitaa ya Mzumbe(Uzumbeni)... Msengi,mgina,na wengine...Ila Msengi nafikiri...
  20. Iwindi_Mbalizi

    Mauaji ya kutisha Mbeya

    Mh msinitishe jamani,Mimi huko ndo home na mwezi uliopita nilikuwa huko kuwaona kijijini kwangu.Hizi habari za kuhusu Mbeya huwa nashindwa kuelewa maana kila siku nasikia magazetini na redioni but mimi nikiwa kule wala hata harufu yake haipo na nipo confortable than anywhere in this world...
Back
Top Bottom