Search results

  1. M

    Msaada tutani!!

    Naomba mtu yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu hivi vyuo viwili vinavyotoa elimu ya kiwango cha shahada kwa njia ya mtandao: 1: Califonia Pacific University na 2. Frederick Taylor University. Je, vyeti vyao vinakubalika kwa kutaka kuendelea na elimu ya juu hapa Tanzania?
  2. M

    Crazy things you did in secondary school

    Renatus wa fom 3L Azania ( group B) mwaka 93 alichukua mikate ya darasa zima kwa kujifanya yeye monita, bado namaindi sana ile siku na siku nikikutana naye ama zake ama zangu!!
  3. M

    Intelijensia

    mi naona dhote thawa tu!! heheeee!
  4. M

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    Huyu Masha naona naye ameshaanza kulewa madaraka. Na kujiona ni miongoni mwa wale wasiogusika. Kimsingi, nashindwa kuelewa ameingia vipi katika siasa na kufikia wadhifa wa juu na kuwa mkuu wa Wizara nyeti kama hiyo ya Mambo ya ndani.Pumbafu sana huyu kijana!! Soma pumba yake nyingine hapa...
  5. M

    Tanzania is proving to be a liability in EA integration

    The journey to the federation needs to be deliberately carried out, and without careless haste. The interests of all member states must be clearly protected. It just happens that for us Tanzanians, our security precedes the need for a Federation. The fact is that we a surrounded with overly...
  6. M

    Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katika maisha

    Angalia signature yako vizuri mzee.Maisha sio tu ku'take risk' bali ni ku 'take' CALCULATED RISK.
Back
Top Bottom