Search results

  1. U

    Napata wapi asali original hapa DSM?

    Habari ya kila mmoja wetu kwa siku ya leo? Naomba great thinkers muweze kunisaidia katika hili, hivi hapa dsm nitapata wapi asali ya nyuki wadogo au asali tu ambayo ni original yaani ambayo haijachakachuliwa??? Naomba mnisaidie mahali pa kupata asali hii na bei zake zinakuwaje? Nahitaji sana...
  2. U

    Mlioenda kufanya interview Viettel(Vietnam telecommunication) leo!!

    Nimeipenda hii topic.. Mimi pia nilituma maombi kwenye hii company japo kwa kuchelewa. Naomba mnisaidie kunieleza, jamaa wameshamaliza kuita watu au zoezi la kuita linaendelea, yaani wanaita watu in batches? Ofisi za hii kampuni ziko wapi na wanatarajia kuanza operations lini? Pia naomba...
  3. U

    Kampuni za mabasi bora zifanyazo safari Dar Mbeya kila siku

    Habari za majukumu ndugu wanajamii Forum! Ni matumaini yangu nyote mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Nakuja kwenu naomba muweze kunisaidia kampuni nzuri ya mabasi yanayofanya safari zake Dar Mbeya kila siku. Ninaishi Dar na ninapanga safari ya kwenda Mbeya mapema mwezi...
  4. U

    Kupotea kwa ITV, EATV, CAPITAL TV na nk - digitek decoder

    Habari zenu wana jamii forum!! Hongereni kwa kazi nzuri ya kuelimisha jamii. Naomba mnisaidie, ninatumia king'amuzi cha digitek na since jumanne nimepoteza channels zote isipokuwa Star TV, TB Joshua. Channels zote muhimu kama ITV, EATV, Capital TV na za nje zimepotea. Naomba kujua kama tatizo...
  5. U

    Mawasiliano ya yule mama mwenye mapacha waliofanyiwa operation ya kuwatengenisha nchini India

    Wanajamii Forum, Naomba kupata mawasiliano ya yule mama mwenye mapacha waliokuwa wameungana ambao walitenganishwa nchini India. Huyu mama alirejea wiki iliyopita Tanzania na nimesoma gazeti la jana kwamba ameruhusiwa kurudi Mbeya. Lengo la kupata mawasiliano ni kwa ajili ya kumsaidia huyu mama...
  6. U

    Mawasiliano ya yule mama mwenye mapacha waliofanyiwa operation ya kuwatengenisha nchini India

    Wanajamii Forum, Naomba kupata mawasiliano ya yule mama mwenye mapacha waliokuwa wameungana ambao walitenganishwa nchini India. Huyu mama alirejea wiki iliyopita Tanzania na nimesoma gazeti la jana kwamba ameruhusiwa kurudi Mbeya. Lengo la kupata mawasiliano ni kwa ajili ya kumsaidia huyu mama...
  7. U

    Watoto mapacha waliorejea nchini kutoka India

    nimewapenda sana hawa watoto, mungu awabariki sana...
  8. U

    Watoto mapacha waliorejea nchini kutoka India

    Salaam na poleni sana na kazi wadau. Jana nilisoma gazeti la The Citizens kuhusu habari ya hawa mapacha nikaguswa na kufurahi kusoma kwamba wanaendelea vizuri na afya zao. Leo nimesoma magezeti megi kama Mwananchi na kutembelea blog ya Michuzi nimekutana na habari yao na picha zao zikiwaonyesha...
  9. U

    SHOGA maarufu la mjini kufukuzwa kazi

    Heri ya mwaka mpya kwetu sote wana Jamii forum. Nilipata kusikia kwamba pale CFAO ambao zamani walikuwa wanajulikana kama DT dobie (wauza magari) kuna kijana mmoja wa kitanzania ambaye ni shoga, maarufu sana. Tena nilisikia kijana huyu alikuwa hana hiyana kuwaambia watu kuwa yeye ni shoga na...
  10. U

    Hongera Wasiwasi Mwabulambo na poleni Clouds Media Group

    Naomba kutoa pongezi za dhati kwa bwana Wasiwasi Mwabulambo kwa kuwa Head of Programs at Azam Media. Anastahili, huyu jamaa yuko nondo na ni creative sana. kwa wakati huohuo naomba kutoa pole kwa Clouds Media hususan Jahazi na Clouds Tv kwa kupoteza jembe....
  11. U

    Kuzungushwa malipo

    Tunaomba kujulisha umma tena kwa masikitiko makubwa kwamba centre ya utamaduni ya kifaransa ijulikanayo kama alliancefrancaise, na British council waingereza wanawanyanyasa na kuwadhulumu watanzania. Tunaomba ifahamike kuwa, centre hizo zilifanya tamasha kubwa la muziki mwezi wa sita viwanja...
  12. U

    Baada ya vijana wa clouds fm kumsema Mwisho Mwampamba, mwenyewe afunguka

    Nanukuu, "Clouds fm siwaelewi mnatafuta nini . Nahisi mnatafuta kupakazwa mafuta ya ubuyu . Tafadhali Kusaga naona heshima inapungua . Hadi mifugo yako hujawalea vizuri . Mimi sio msanii na pia sitaajiriwa na ---- wowote yule . Stay away from me and my family"
  13. U

    world music day uwanja wa kijitonyama posta ijumaa tarehe 21/6

    kwa wiki mbili sasa nimekuwa nikisikia matangazo ya tamasha la muziki duniani litakalofanyika viwanja vya posta kijitonyama ijumaa ya tarehe 21 yaani kesho kutwa. inavyoonekana through line-up tamasha litakuwa kali il mbaya, namuona hapa Kala Jeremiah, Ben Pol, Barnaba, baikoko a.k.a. maunooo...
  14. U

    Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

    hapa kuna mambo makubwa, lazima kuna tatizo, yamesikika sana haya malalamiko kwa muda mrefu, nitashangaa sana kuona uongozi wa radio tajwa umekaa kimya katika hili
  15. U

    Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

    mimi naomba kujua yafuatayo, mawili tu; huyo mtu ambaye binti comando anasema wako watatu lakini amewasema wawili baada ya kugundua huyo jamaa wa tatu anatumika tu lakini hapendi tabia yao ni nani?? tungependa kujua jina lake huyo??? hawa ma-s.h.o.g.a waliotajwa sana ni kina nani? jamani...
  16. U

    Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

    Ufuatao ni wosia wa mwanamuziki Lady JayDee, ambapo baadhi ya matakwa yake ni kwa Clouds FM kutopiga muziki wake, na mapedejhee wa kampuni hiyo, Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba wasihurudhie msiba wake. “Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja...
  17. U

    yuko wapi PJ? KUPERUZI na kudadisi kuna dorora sana, matatizo gani hayo??

    jamani, tuna masiku sasa hatumsikii muzee mujanja a.k.a. PJ.. tulisikia tu kapata matatizo j3 alipokuwa akielekea kazini, matatizo gani? alipatwa na nini? yuko wapi sasa? wadau, kuna mwenye kujua huyu mutu alipatwa na nini? mushikeli gali?? jana nilipita mjengoni nikasikia misemo tu haeleweki...
  18. U

    Sunday, April 21, 2013 MAKALA: JAYDEE, MNAFIKI WA MIAKA 10, SHUJAA WA SIKU 30

    Na Saleh Ally MGOGORO wa kimuziki kati ya msanii Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ na kituo kimoja cha redio umezidi kuchukua kasi huku makundi mawili, kila moja likitengeneza ngome yake na kuamini linachoamini. Kundi ambalo linamuunga mkono Jaydee na kumuona ni mkombozi, anazungumza...
Back
Top Bottom