Baada ya vijana wa clouds fm kumsema Mwisho Mwampamba, mwenyewe afunguka

understanding

Member
Feb 17, 2013
75
34
Nanukuu, "Clouds fm siwaelewi mnatafuta nini . Nahisi mnatafuta kupakazwa mafuta ya ubuyu . Tafadhali Kusaga naona heshima inapungua . Hadi mifugo yako hujawalea vizuri . Mimi sio msanii na pia sitaajiriwa na ---- wowote yule . Stay away from me and my family"
 
Mbona hujatueleza waloyasema hao mifugo wa cloudz fm!? Ivi mwisho co msanii eeh?
 
Nanukuu, "Clouds fm siwaelewi mnatafuta nini . Nahisi mnatafuta kupakazwa mafuta ya ubuyu . Tafadhali Kusaga naona heshima inapungua . Hadi mifugo yako hujawalea vizuri . Mimi sio msanii na pia sitaajiriwa na ---- wowote yule . Stay away from me and my family"

Hahahahaha MIFUGO YA WAFUFM BWANA.. TAABU SANA
 
Kusaga asipoangalia hii redio itamshinda maana siku zinavyozidi kwenda mbele watu wanaikimbia hii redio.

Hii redio ya clouds ni majungu mtindo mmoja wengi wameamua kusikiliza Times Fm,kama kibonde ndio anaiua kabisa,mpaka siasa zimeingizwa clouds walianza vizuri sasa wanaishia kubaya hawana tofauti na TBC ambao wamekosa watu wakuwasikiliza kabisa hata matangazo ya biashara wanakosa na clouds ndio hivyo tena kila unakopita wanaisema vibaya...... Acha ife..
 
mano likwe. ndo mambo ya bongo kwani mafuta ya ubuyu inaonekana itakuwa tiba sawia ya hawa jamaa wa redio ya majitu.
 
Hii redio ya clouds ni majungu mtindo mmoja wengi wameamua kusikiliza Times Fm,kama kibonde ndio anaiua kabisa,mpaka siasa zimeingizwa clouds walianza vizuri sasa wanaishia kubaya hawana tofauti na TBC ambao wamekosa watu wakuwasikiliza kabisa hata matangazo ya biashara wanakosa na clouds ndio hivyo tena kila unakopita wanaisema vibaya...... Acha ife..

yani huyo kibonde ndio anaharibu kabisa clouds ni mlopokaji asiye na mbele wala nyuma anakera sana.
 
Back
Top Bottom