Search results

  1. Mozu1991

    Jua haya kuhusu Vatican

    Lete nondo zaidi mkuu naona kuna mengi hatujuw
  2. Mozu1991

    Bima ya Afya NHIF ni Janga kwa wanachama wake

    Mkuu ni kweli hii kitu au ni editing? Kama ni kweli mbona itakua ni hatar sana
  3. Mozu1991

    Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We jamaa huendi mbinguni kabisa
  4. Mozu1991

    Serikali kama Elimu Bure imeshindikana semeni wazazi tuendeleee kulipa ada ya shule kama zamani

    HIYO SHULE MWL WAKO HANA AKILI KWANINI MITIHANI IYANDIKIWE UBAOONI? MZABUNI HAMNA WAKUPRINT NA KURUDUFU HIYO MITIHANI ? ACHA POROJO NA UCHOCHEZI ..... MBONA MADARASA UNAYOJENGEWA HUSEMI HUMU? UNAJUA GHARAMA ZAKE? SIDHANI KAMA UNGEAMBIWA UCHANGE UNGECHANGA MKUU........ NAPATA WASIWASI UKIAMBIWA...
  5. Mozu1991

    Ombi: Mechi ya Taifa Stars ioneshwe TBC 1

    Kanunue kisimbuzi Cha Azamtv mechi ni free ya Leo ZBC 2 "wema unaoendelea......" #Starehe gharama Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
  6. Mozu1991

    Serikali iwahamasishe wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara kuwa na makazi bora

    Wewe unakaa wapi kwanza? Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
  7. Mozu1991

    Nimenunua umeme wa elfu 5 nimepata units 9.8

    Weka risit tuone , huenda mita yako Ina deni la TANESCO
  8. Mozu1991

    Raisi Samia, NHIF inakugombanisha na wazee makusudi kabisa, kinyongo na manung'uniko yao vitakuletea mikosi kwenye uongozi wako

    Hamna tatizo hapo wanachofanya ni kitu kizur kwa manufaa ya mfuko(Nhif) , nimeona hivyo pale Beni Mkapa Hospital nawapongeza Sana Kuna mwanya wa wizi wameuona so wamekuja na hiyo mbinu kupunguza gharama/bill hewa kutoka kwenye hizo hospitali
  9. Mozu1991

    Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

    Daaaah we jamaa huendi mbinguni kabisa yani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijuw umewaza nini
  10. Mozu1991

    Fundi wa Canon printers

    Nenda YouTube kaandonde errorcode na hiyo printer serioee yako, watakupa option yakuclear hiyo error, Hutumii stabilizer mkuu?
  11. Mozu1991

    Kuwekea simu cover na screen protector ni ushamba

    Pesa yangu unipangie matumizi....?
Back
Top Bottom