NAWASHAURI WATU TUSIENDE KWA WAGANGA KUPIGIWA RAMLI CHONGANISHI

FK21

JF-Expert Member
May 27, 2019
7,627
9,323
Speaking from my experience kiukweli leo nilitembelewa na ndugu yangu wa kike ambae huwa ana mambo za KIGANGA ni mtu mzima sana tuseme bibi

Amefika tumeongea akasema kuna kitu anataka kunifanyia kaangalia viganja vya mikono na kuanza kuniambia vitu

Vingine ni ukweli asilimia 100 kabisa vya kuhusu bibi wa jirani nilikataa akanipa na ushahidi ila vingine ni uongo wa kutaka kunigombanisha na rafiki angu kwakweli icho kitu hadi mda huu sikiamini kwa urafi huo tulionao alafu anifanyie hayo I can't believe RAMLI SIO NZURI TUSALI TU
 
Back
Top Bottom