Search results

  1. M

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Ee Mungu nakuomba ikiwezekana nichukue Mimi T.l abaki maana yeye anaitajika sana ktk Tz ya Leo. Amen
  2. M

    Hii Serikali kama unaidai siyo ya kuchekea chekea! Nawapongeza Canada kwa kuchukua hatua

    Kweli kama ndo hivi Wtz wengi wamechoka!! kwa comments hizi duh Mungu asaidie.
  3. M

    Kiongozi wa namna hii, hatufai na Hatumtaki! Over!

    Hadi 2020 Duh! tena utashangaa hadi 2025 Pia huyu huyu wengine wanamtaka sana tuu
  4. M

    Masikini Simba Sport Club

    Hakuna wamekanusha
  5. M

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa EWURA

    Huyo Ngalamkosi wa kwako si tunaemfaham ni Ngamlagosi
  6. M

    Wachezaji mahiri waliotamba katika Kariakoo derby

    Mohammed Ibrahim "Mo"
  7. M

    Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

    Duh! jamani ansanten Simba mmenipa raha!
  8. M

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Ndugu naomba nisaidie s.3682 mkuu
  9. M

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Jamani habari! Samahani naomba niangalizieni matokeo hapa S.3682 Ansante
  10. M

    Asilimia 15 ya Bodi ya Mikopo kuanza kukatwa kwenye mshahara ghafi(basic) kuanzia mwezi Januari

    Waliokuwa wanaishi kama malaika wataishi kama mashetani.
  11. M

    Naipenda YANGA kwa kuwa ni timu ya chama naipenda SIMBA kwa kuwa inaniletea heshima-KIKWETE

    Mkuu wa nchi alishalonga enzi hizo kumbe kocha wa Azam hakukosea aliposema kwamba NANI HAJUI KUWA YANGA F.C NI TIMU YA C.C.M?
  12. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu yupo Nzega idara shule ya msingi anatafuta mwalim wa kubadilishana naye kutoka mkoa wa Iringa Njombe Ruvuma mawasiliano 0753925510
  13. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Nyasa mkoa wa Ruvuma idara sec nije Njombe Iringa na Mbeya mawasiliano 0753925510
  14. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu yupo Bunda vijijini idara sec anatafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka mikoa ifuatayo Morogoro Iringa Njombe Mbeya Ruvuma Mawasiliano 0757688964 Tusaidiane jamani ukiona tangazo ili mwambie na mwezako
  15. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu idara sec yupo Mafia mjini Anatafuta MWL wa kubadilishana nae kutoka sehemu zifuatazo Dodoma mjini na Morogoro mjini piga 0784345936
Back
Top Bottom