Search results

  1. B101

    TTCL na huduma za internet mbovu!

    We still got a long way to go...
  2. B101

    Kisa cha Rais Ali Hassan Mwinyi kipigwa kibao akihutubia

    MMmmh, kumbe Banizle was ryt...Balaaa!
  3. B101

    Zitto sasa apachikwa jina la 'DOWANS'

    What a sudden change in attitude... Kuna kitu nyuma ya hili lakini kwa nini Zitto na Slaa? Kwanza wana(li)kuwa na support kubwa ya Watanzania hivyo walifikiri kupata support ya wawili hawa moja kwa moja ingekuwa ni tiketi kutoka kwa WaTZ pia. Pili hawa ni wajenga hoja wazuri na murua wa karne...
  4. B101

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    The question still remains "How do these guys make money?" Wanawezaje kuzalisha pesa yote hiyo katika kipindi hicho kifupi? Hili ndilo swali linanifanya hata mimi kuwa "skeptical" na mpango huu wa kutafuta utajiri wa haraka bila kuutolea jasho. Pia nilishawahi kuona karatasi yao ya...
  5. B101

    Mwenye hisa kubwa Twiga Cement ajiua

    Kaazi kweli kweli, usikute kwa utajiri wake mpaka anajiua ulikuwa juu ya hata matajiri wote wakubwa hapa bongo..Japokuwa kwake ulikuwa umeshuka! KweliUtajiri au umasikini ni comparative term jamani!
  6. B101

    Rehema Mwakangale hayupo nasi

    R.i.p
  7. B101

    Market Capitalization - very scarily

    Pretty scary indeed, look at Citigroup figures!
  8. B101

    Installing a Husband

    You just cracked my ribs..LOL! Nice joke..kwa aneelewa kiinglishi na mtambo kiasi kwenye kompyuta na mambo ya mitandao!
  9. B101

    Property Market in DAR...

    Thumbs Up to the ideas wazalendo, Value for money inahusika sana.. hizi inflated flats hata kwetu are in essence jokes for money! It's one of the many reasons why hatupigi hatua kimaendeleo, tamaa!!
  10. B101

    Effective Internal Auditors

    THnx alot for ur contribution Shapu, but i have one more quick question for u..who the internal auditor reports to is one aspect of their independence, does that complete the list ndani ya independence?! Yani kama nitagundua kuwa the auditor anariport kwa bodi ya kampuni basi huyo ni independent...
  11. B101

    Effective Internal Auditors

    I believe we do have many auditors in jambo forum but especially in the business and economic forum.I am currently about to conduct a research on the effectiveness of internal audit service as a case study in a certain organization in Dar Es Salaam. The problem is I receive as many views as the...
  12. B101

    Elimu Kichina

    Lol.. nilijua tu ntavunjika mbavu baada ya hizo reply japo hata mwenyewe cjui niljifalague vipi kuiweka iyo sentensi sawa kwa lugha ya kighaibuni jamani! Ebwana Burn my bad mkuu kama uko china ila huku Bongo kuna wimbi kubwa la vitu feki kutokea uchina..hivyo imekuwa ni kawaida kufananisha kila...
  13. B101

    Elimu Kichina

    Kama elimu yako sio ya mchina[feki], badili sentensi hii kwa kiingereza tuanze kucheka..."BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?"
  14. B101

    Top 10 Antivirus Programs 2008 of my choice

    GOOD CHOICE i guess kaka, lakini nadhani ingekuwa murua kama ungetupatia na gharama za hizo pingavirusi ingekuwa murua zaidi..Ka sababu kwa wengine wetu gharama ya antivirus ina umuhimu sawa kabisa na uwezo wake wa kupigana na virusi..Thanx for delivering wat was lacking!
  15. B101

    Uhasibu na Wahasibu

    Jamani wahasibu wa Tanzania, chukueni muda kujua ni standards gani zinatumika kwa mazingira ya kihasibu TANZANIA. Kutokana na wimbi la utandawazi kuwa kubwa kiasi cha kuwafunua macho wahasibu wa kitanzania katika standards na practices za kihasibu ambazo ama hazihusiki au zimepitwa na wakati kwa...
  16. B101

    *Miss Tanzania 2008*

    Ebwana Kichuguu, mimi ningekuwa kwenye lile jukwaa la majaji kwa picha hizo..basi machaguo yangu ya wasichana wenye mvuto zaidi ingekuwa ni Regina Julius, Fay Anthony na Rona Swai. Pamoja!
Back
Top Bottom