Nauza nyumba Morogoro Kihonda Veta (Yespa) ina vyumba vinne Kati ya hivyo viwili ni self, sitting room, Public toilet,jiko, dinning na stoo na choo Cha nje .Nyumba bado haijafanyiwa finishing. Ukubwa wa kiwanja Cha nyumba hiyo ni Sq mita 1,100. Kwa mahitaji piga 0755630063 au 0654309320. Nyumba...
Nauza nyumba Morogoro Kihonda Veta (Yespa) ina vyumba vinne Kati ya hivyo viwili ni self, sitting room, dinning na stoo, Public toilet, jiko na choo cha nje.
Bado haijafanyiwa finishing. Ukubwa wa kiwanja Cha nyumba hiyo ni Sq mita 1,100.
Kwa mahitaji piga 0755630063 au 0654309320.
Nyumba...
Wana JF naomba kujuzwa.Niko Singida na nina Dish la futi 6 nifanyeje ili niweze kupata channel za TV za FTA za movie, Sports, wwe, news na zile za kibongo
Kiwanja kinauzwa Morogoro eneo la Kilimanjaro mwanzoni kabisa,kimepimwa,kiko eneo la biashara na ni medium density.Msingi wa nyumba ya kisasa umeshajengwa.Bei shs 18m. Kwa anayehitaji 0784496262/0755630063
1. Wana JF hivi ukichagua Bachelor in Civil Engineering DIT unaweza kupata Mkopo asilimia 100?
2. Katika Civil Engineering specialisation gani ni nzuri.
wanafunzi waliotoka form six mwaka 2013 na kwenda Jkt walipimwa afya lini? Kwa hali hiyo tusishangae kusikia watoto wanakufa.Lakini je nani wa kulaumiwa?
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.
Wana Jf naomba msaada wa Hospitali inayoweza kutibu kidonda cha mgonjwa wa Kisukari. Nina ndugu yangu ana ugonjwa wa kisukari na ana kidonda mguuni ambacho hakiponi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.