Mimi nafikiri hili jambo ni ukosefu wa maadili yetu . kwni heshima haiuzwi dukani hivyo kujiheshimu au kumheshimu yoyote ni maamuzi ya mtu binafsi.hivyo suala la kutembea na mijimama au mijibaba mikubwa ni jambo la maamuzi ya mtu mwenyewe hasa asiyekuwa na maadili na kujiheshimu.
Manji anaogopa !!! asife mapema tunamwombea apone ili arudishe mamilioni ya wazalendo waTanzania halafu ndio afe.... Madaktari wajitahidi kurudisha afya yake huyo gwiji wa Mafisadi.
Mungu ana mabo mengi na tusipende kubisha mambo tusiyoyajua inawezekana ni kweli kabisa huyo mtoto anaongea kwani kuna watu wameshudia hayo. acha wafu wazike wafu wao.
Inawezekana ni kweli aliishi na hayo manyani mimi na wewe hatiwezi jua kwani hata huko kijijini hao wanaofanya reseach mara nyingi hawafiki seshmu hizo.Acha wafu wazike wafu wao.
Hao wote wanosema watu wasiseme maswala ya EPA namini hata wao wamo huko huko kwenye wizi wa fedha hizo, kwanini linawauma sana wana matatizo gani wawaache watanzania wawe huru kuongea na kujua yanayoendelea katika nchi yao. WIZI MTUPU!!!
Mimi nafikiri serikali inajuana na hawa wauzaji wa mafuta nchini kwanini basi bei za nauli kwa walalahoi isipungur anagalau wakajinasua kwenye huu umasikini? Hivi kweli haya ndio maish bora kwa kila mtanzania?
Hawa wanatudanganya tuone kuwa wamefanyia kazi suala la EPA lakini kimsingi hio ni danganya toto tu kwani hio kesi inaweza kukaa huko mahakamani hata miaka 20 je si lazima mtasahau tu. JK anajua wabongo hamuwezi kumfanya lolote anweza fanya lolote atakalo.
Wanaume sio wavumilivu hata kidogo kama walivyo wanawake. Mwanaume anaona ana haki kwa kila kitu hata akifumaniwa yeye ana haki tu. Swala la uchavu hata mwanamume ana kuja na uchafu huo huo nyumbani kwani huko alikotoka pia si ailikuwa anafanya uchafu. Swala ni kuwa wavumilivu na kuchunga ndoa...
Mimi naamini kuna wanaojinuafaisha na hivi vyuo vya umma ni viongozi wa serikali yetu hii ya Bwana KIKWETE. kwani wanadai wanawasaidia wanafunzi masikini kusoma kumbe ndio wanawaongezea umasikini zaidi.Kwani kama mwanafunzi atakosa mahitaji muhimu anaweza kujiingiza kwenye mambo mabaya na...
Hali hii inatisha sana ukizingatia nchi yetu ina rasirimali za kutosha kuwasaidia wananchi wake.Ila watu achache wajulikanao kama MAFISADI wameamua kuzikwapua na kuchukua wao wenyewe . majiuliza je haya ndio maisha bora kwa kila Mtanzania? ni bora wananchi wote tungeamua kuwa kama wale jamaa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.