www.vijana.fm
Vijana wa Tanzania tuamke!
Tuwekeni visingizio pembeni. Maisha yetu ya baadae hayana budi kujengwa sasa hivi. Nina uhakika vijana wengi hamtaisoma hii makala kwasababu tu ni "ndefu"!
Na Mkereketwa
Unategemea kuona jinsi utawandazi unavyoathiri matendo na mawazo ya watu, hasa...
Mkuu. Ninashukuru kwa mchango wako. The fact that you were born in Serengeti does not mean that your opinion on this matter should be the dogma. Mimi ni Mtanzania, na nina haki kama wewe kutoa maoni kuhusu ujenzi huu usiokuwa makini. Serikali ya Tanzania tumeizoea kukurupuka tu na kuweka mipango...
Soma ripoti kuhusu hili suala linalotoa onyo kuhusu uharibifu utakaotokea kwa ujenzi wa aina yeyote wa lami kuelekea mbugani Serengeti:
African Wildlife Foundation Report
Frankfurt Zoological Society Report
Serikali yetu imeamka na imegundua kuwa haina budi kuanza kujenga barabara nzuri kwenye mikoa mbalimbali nchini. Kama una kumbukumbu nzuri, juhudi hizi zilianza kwa kujenga daraja ambalo lilitakiwa kuunganisha Tanzania na Msumbiji tunajua matokeo yake.
Wakati tunajua fika kuwa barabara...
huu mkasa haujanikuta mimi, ila nimeuona mtandaoni. Inaboa sana kusikia ishu kama hizi, binafsi haijanitokea ila nimekua nikisoma sana kwa mikasa kama hii pale kwa michuzi.
Hiyo ni ahadi yake au ni idea ya wengine? Tazama hapa: MNUWCSR - UWC Tanzania
More like a college au high school inayopangwa kujengwa huko Mara na sio chuo kikuu. Na huu mpango niliusikia miaka kadhaa iliyopita.
yale yaleeee!
-----
VijanaFM Blog
Im always excited to come back home, Tanzania. And this time around, I was especially excited because I was moving back home. After eight years of living abroad, with two degrees and three years of work experience, I felt it was time to go home and...
Ningeomba wenye data mtupatie wasifu wa kiundani wa Prof Justinian Rweyemamu, yule mwanauchumi mashuhuri wa miaka ya '70. Msomi huyu alikuwa Prof. mwenye umri mdogo kuliko wote Afrika ya Mashariki akiwa pale UDSM, Economics.
Does anyone have titles of autobiographies of prominent Tanzanian...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.