Pengine kitu ambacho watu hawaja gundua juu ya clouds fm. Wanatumia mda mwingi kusikiliza radio kubwa mfano EA RADIO,MAGIC FM,RADIO ONE na radio chipukizi kama EFM. Kwa muda mwingi sana ili waende sawa kwani wao wanakosa kitu kimoja UBUNIFU. Na hiyo inapelekea kuchukua hao watangazaji kwa pesa...
Ase naona mabadiliko yale kwenye kona octoba ile lazima wa2 wakimbie nchi wa kwanza yule ndgu ye2 yule wakuitwa na vile semi vyake vinavyo. Tualibia barabara
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ndugu mbona kama unajifanya ujui kuwa kipanya anafanya kazi au anafanya kazi wapi kwahiyo kuwa mpole unataka apoteze kibarua chake
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Source za habari za bongo5 peleka clouds fm tunataka habari yenye source ya kueleweka ndgu nadhani umeelewa
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ndo nani huyo ----- anashindwa kuwa mbunifu amaajiliwa. Kituo gani kwanza clouds nn
Oooooooooh kumbe kule kwa mafahali Azamtv
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Jamani wanajamii wenzangu naomba MwanaJamii yoyote ambaye anajua ama alishafatilia mmiliki wa website ya Bongo5.
Maana kwa tafiti chache niliyofanya inaonesha wazi Clouds Media Group wana ubia mkubwa sana website hiyo maana siyo kweli kwamba kila habari exclusive zinatoka Clouds Fm. Yako mengi...
Picha inayo jionesha katika kituo cha ea radio cha watangazaji wake mahili kama stive kabuye(kafire),flava na sebastian ni mtikisiko
wa kwenda kuanguka kwa radio hivyo na kuondoa ushindani na clouds fm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.