Search results

  1. Totoz

    Natafuta kazi

    Habari ndugu zangu mimi ni kijana wa kitanzania. nipo hapa mbele yenu kuomba msaada wakunisaidia ajira nimesomea uwandishi wa habari na nikafanikiwa kujitolea katika ofisi mbalimbali. nimejikuta anajitolea kwa muda mrufu bila mafanikio zaidi nikusifiwa utendaji wangu wa kazi. nikaona bora notudi...
  2. Totoz

    Usafi wa mtoto wa kike huko chini

    Habari wapendwa mimi ni msichana. Nimeona sehemu na haikutosha nikatumiwa text. Ni kuhusu kujisafisha kwa uke, kuna kila aina ya usafishaji mfano maji ya moto na kitambaa au kidole, ndimu, hata asali na pamba. Mie binafsi naijua maji kwa kidole. Ila ni hii ya asali na pamba mixer na maji ya...
  3. Totoz

    Wanaume nyie

    Jamani nyie wanaume embu jaribuni kutusamehe na sisi tunapo kosea. Mbona nyie mkikosa tunawasamehe mnadhani tuna moyo wa plastik. Sasa mbona mnatutesa hivi nikikosa na kwambia sasa ni shidaaa daaah hebu basi jaribu kufikiria japo yale mazur tuliofanya pamoja na mema niliokufanyia, ile tym...
  4. Totoz

    Update ya Visat 1 (TV 1)

    Niliitwa kwenye interview sikuhojiwa wakasema watatitafuta, vipi wenzangu mmeitwa? na hata ile ya pili niliumba sikuitwa. Tujuzane jamani.
  5. Totoz

    Kuitwa interview hewa???

    habari wanajf... Hivi inamaana gani unapigiwa simu uende kwenye interview, inafika siku unaenda katika chumba cha interview unaambiwa hiyo post ulioomba imejaa.??
  6. Totoz

    nafasi za kazi 5

    habari ndugu zangu nimepewa tangazo la kazi kwa nahaohitaji. Wanahitajika watu 5. Vigezo. Ujue kusoma na kuandika vizuri. Uwe na umri kuanzia miaka 18 nafasi 4 wasichana na 1 mvulana. Ila kazi ni yamuda sio yakudumu itategemea na ufanisi wako. Kwa anae hitaji ni mp
  7. Totoz

    mafuta ya kitunguu swaumu ni dawa

    habari wapendwa leo katika pilika pilika zangu za kutafuta dawa za kupunguza unene na uzito nimegundua mafuta ya kiunguu swaumu nayo yana saidia una weka kijiko kimoja cha chai katika maji ya moto unayo kunywa asubuhi.
  8. Totoz

    kupunguza unene kwa muda wa siku 14

    naomba mnisaidie kuna dawa nimeiona inatagazwa kwenye blog ikisema inapunguza unene kwa siku 14 na dawa ni asili haina madhara wanavyodai. Wasiwasi nisije kufa maan kufunguza mwaili wiki 2 sio mchezo naomba ushauri niitumie hiyo dawa au la.
  9. Totoz

    Wazingua

    wana jamvin kuna watu humu wana sumbua akili za watanzania tena wanaotafuta ajira anaandika nafasi ya kazi kisha anakwambia ni PM uki mu PM anakwambia nitumie namba yako au nitumie E mail... Nimekutana na watu hao humu ndani nimewatumia lakini mpaka leo hawajanijibu kitu na bado wanaandika...
  10. Totoz

    mume wa mtu

    nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari...
  11. Totoz

    mapenzi nayo kazi

    siku hizi hakuna mapenzi ya dhati wadada wanachagua wanaume kama bidhaa ya kichina na original na mwishowe anachukua ya kijapani iliopita china kwa finishing. Wakaka wanachagua wadada wenye makalio wakati wao ni mabapa na vitambi mbele loooh jaman kweli kupata mke bora na mke boro ni sawa na...
  12. Totoz

    landmark kunduchi

    eti jaman landmark hotel kunduchi washaanza kuwapigia simu watu au ndo unaenda tu kwenyee interview kama ulituma barua kwasababu ni 20 ndo interview. Tujuzane
  13. Totoz

    Kazi kwa Uandishi wa habari

    Habari ndugu zangu mimi ni kijana wa kitanzania ninatafuta kazi ya uandishi wa habari kwani nimesomea na pia nina kipaji cha utangazaji, ukiachia fani hiyo pia nina uwezo wa kuwa karani. Kutokana na elimu niliyo nayo naweza fanya kazi katika kampuni kama customer care,reseption katika hotel...
  14. Totoz

    nipokeeni

    mambo vipi mimi ni mgeni mpya humu ni totoz wa poz ila csi mchokoz wala mdokozi ahhah tusaidiane jaman tupendane
  15. Totoz

    mwandishi wa habari yupo

    habari natafuta kazi ya utangazaji wa radio au tv pia nauwezo wa kuuanda vipindi na kumuongoza mtu. Atakae hitaji au kusikia aniambie sitajari mkoa
Back
Top Bottom