landmark kunduchi

Totoz

Member
Jan 27, 2013
99
18
eti jaman landmark hotel kunduchi washaanza kuwapigia simu watu au ndo unaenda tu kwenyee interview kama ulituma barua kwasababu ni 20 ndo interview. Tujuzane
 
hata mm nilipeleka.yule mzee akaniambia taree 20 ndo interview.

majanga tu mi hata sielewi maana kuna mtu yupo fb kwenye page ya landmark anadai mpaka upigiwe simu kama tangazo linavyoeleza so mi sielewi unajua kule mbali alafu noma unajipeleka then unaambiwa haujaitwa hapa
 
yeah!kule mbali.lakini yule mzee alisema interview tar 20 na saa mbili 2we pale.kwani ww ulivyompa alikuandika kwenye daftari?maana ukimpa bahasha anafungua alafu anakuandika ndo anasemd njoo tar 20.
 
mi aliandika
 
mi sielewi tangazo linasema vingine mzee vingine au labda wale watakaopigiwa simu ni waliotuma kwa njia ya posta
 
nilipeleka ila yule mzee alisema kama mlivyo ambiwa asa inakuaje hapo
 
we ulipeleka barua pale coz mimi nilipeleka yule mzee akaniambia interview tareh 20 saa 2 nisikose

hawaeleweki mi na rafki yangu tulipeleka pale hazkfnguliwa na tukaandika majina yule babu akatuambia twende kwny intvw tarh 20 rafk yang akamwambia tutakujaje bila kpigiwa cm yle mzee akasema ye ndo alivyoagizwa kusema hvyo . . . . . . Sa cjui mtu afate tangazo au yule mzee
 
hapa kama mpaka kesho kama hamna aliyepigiwa basi tujuzane na tuende tuu tukirudi basi au mnaonaje...
 
hawaeleweki mi na rafki yangu tulipeleka pale hazkfnguliwa na tukaandika majina yule babu akatuambia twende kwny intvw tarh 20 rafk yang akamwambia tutakujaje bila kpigiwa cm yle mzee akasema ye ndo alivyoagizwa kusema hvyo . . . . . . Sa cjui mtu afate tangazo au yule mzee

ukiingia kwenye page ya fb andika landmark hotel mbezi beach then utaona namba ya simu ukimuuliza yule jamaa atakwambia vingine kabisa
 
anadai fuata kama tangazo linavyoeleza yaani mpaka upigiwe simu sasa hapa sijui nn cha kufuata maandishi au kauli ya mdomo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom