Kazi kwa Uandishi wa habari

Totoz

Member
Jan 27, 2013
99
18
Habari ndugu zangu mimi ni kijana wa kitanzania ninatafuta kazi ya uandishi wa habari kwani nimesomea na pia nina kipaji cha utangazaji, ukiachia fani hiyo pia nina uwezo wa kuwa karani. Kutokana na elimu niliyo nayo naweza fanya kazi katika kampuni kama customer care,reseption katika hotel na publicrelation. Asanten
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom