Search results

  1. Y

    Usikose kusoma hapa.

    Naitwa Yasini Yahya Rajabu Nimepoteza cheti changu cha kuzaliwa, Kwa yeyote alie kiona wasiliana nami kupitia email:yasinyahya6@gmail.com au Kwa namba ya simu :+255718—919637 Kimeandikwa nimezaliwa:16/04/1994
  2. Y

    Msaada Jinsi ya kujiunga chuo cha TIA

    Natumai mpo poa, naomba mnisaidie kidogo niliomba kujiung na TIA kwa ngazi ya cheti. nimechaguliwa lakini sijafahamu vitu gani natakiwa kuchukua baada ya kuliona jina langu ili kukamilisha usaili?
  3. Y

    Msaada :tia &ifm

    habari ? naomba unijuze kama wewe ni muhusika wa IFM au TIA. nimepeleka form ya maombi ya kujiunga kwa ngazi ya certificate katika vyuo hivyo. Kwa hiyo ningependa kufahamu kama majibu yamesha toka au kama bado kwa mwenye kujua lini yanaweza kutoka pia anifahamishe. asanteni !
  4. Y

    Msaada TIA

    Habar? naomba kuuliza eti TIA wamesha anza kutoa form za maombi kwa ngazi ya cheti? Pia kama tayari watu wameshaanza kurudisha hizo form?
  5. Y

    Msaada IFM

    hadi campus ya dar tayar kwa sababu kuna siku nilienda kudownload form wakaniambia kuwa campus ya dar bado
  6. Y

    Msaada IFM

    habar wanajamvi? Naomba kuuliza eti IFM wameshaanza kupokea maombi kwa wale wa certificate?
  7. Y

    msaada kwa wale wanabiashara

    Habar? Mwaka jana nilipeleka maombi TIA nilikuw nataka kusoma Account katika ngaz ya cheti ila sikufanikiwa kupata nafasi. Alafu mbaya zaidi niliapply TIA tu kwa sababu muda ulikuwa umeisha wa kujaribu kuapply vyuo vingine. Katika cheti changu nina Commerce-D B/Keeping-D Biology -D...
  8. Y

    Msaada wakubwa

    Nimefanya mtihan mwaka jana form 4 na niliambulia B/KEEPING- D COMMERCE- D BIOLOGY - D B.MATHS - C nime0mba Chuo nilitaka kusoma Account nimekosa sijafahamu hadi n0w nifanye nini? Mawaz0 yenu muhimu kwangu
  9. Y

    Msaada kuhusu TIA

    nimeingia lakin naona inazngua. Nimeangalia upande ule wa Basic Technician Certificate in Accountancy hamna chochote kilicho andikwa ila nimecheki upand mwngine wa Basib Technician Certificate in Accoutancy Evening inakubali.
  10. Y

    Msaada kuhusu TIA

    0K! Kama ukichaguliwa huwa wana kutext 0? Na km haujachaguliwa pia huwa wanakutext au wanakuchunia tu?
  11. Y

    Msaada kuhusu TIA

    waliandika mwisho wa kupokea ma0mbi ni mwezi wa 8 trh 30 sasa nashindwa kuelewa unanyo niambia hvy
  12. Y

    Msaada kuhusu TIA

    Habar zenu? Wakubwa eti majibu ya walio 0mba kujiunga na masomo kwa ngazi ya certificate yameshatoka?(TIA)
  13. Y

    Msaada

    Asante
  14. Y

    Msaada

    Asanteni wakubwa nasikilizia majibu mwezi huu
  15. Y

    Msaada

    Hbr zenu wakubwa? Nimemaliza form 4 mwk jana nimepata 4-30 yaani nimepata B/Keepng =D Commerce =D Biology =D Math =C Nilienda kutafuta kituo kw ajili ya kurudia mthani,nikapata nikalipia kila kitu but kuna watu wengine walinishauri nitafute chuo. Coz kurudia wanadai...
  16. Y

    Msaada wanajf kwa mwenye kufahamu

    Kwa mfano kwa kutumia matokeo ya mwaka jana(2012) jinsi yalivyo kuwa yametoka. Matokeo ya mwanzo kwa mfano mtu akawa amepata IV 33 akaamua bora arudie mtihani,matokeo ya pili yalivyo toka akawa amepata IV 30. Je?huyu mtu anaweza kuapply chuo wakati amesha jisajiri kufanya mtihani
  17. Y

    Msaada kwa anae fahamu.

    Asante King'asti
  18. Y

    Msaada kwa anae fahamu.

    mkuu si ukaulize baraza? NECTA? google necta utapata simu zao then call them, samahani kama nitakuwa nipo tofauti. P0a mkubwa nimekusoma
  19. Y

    Msaada kwa anae fahamu.

    Hatuendi hivyo mkubwa mi nimeuliza kwa anae fahamu lini zinatoka kwani kuna ubaya gani ? Mim nikiwa kama binadamu sijakamilika nimesahau kuandika kam ni za 0-level au A-lvl ila nazungumzia za f0rm 4 za mat0keo mapya
Back
Top Bottom