these are the unforgettable moments am talking about...hutasahau kamwe as long as hiyo "sweet life" ya fally ipupa ipo hai....kweli life with music is sweet
Habari,
Nyimbo hutukumbusha matukio mbalimbali yaliyopata kututokea hapo nyuma.Matukio haya yanawezakuwa ya furaha au huzuni katika swala zima la mahusiano.
Binafsi nikisikia wimbo wa "Missing you" by Busy Signal nakumbuka miaka miwili nyuma nilipokuwa na mpenzi wangu wa zamani katika fukwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.