Search results

  1. Baba Mtu

    Tuliosoma Pugu Boyz njooni hapa tupige story

    Pond boys!! Nlimaliza hapo 2000, pcb. Nmesikitika kuckia rwezaula katangulia mbele ya haki. Naikumbuka cku ya nyama, ktkt ya mwez
  2. Baba Mtu

    Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

    MICHUZI BLOG: TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA UPOTOSHAJI WA TAARIFA ZINAZOSAMBAZWA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII JUU YA MSHINDI WA SHINDANO LA MISS TANZANIA 2016
  3. Baba Mtu

    Masimulizi kwa njia ya sauti;hadithi za George Iron Mosenya

    OFA BEI YA SIMULIZI NDEFU ZA SAUTI. Kutoka shs 3500 kwa simulizi sasa utapata kwa shs 3000. Na kama unahitaji Riwaya mbili utalipia shs 5000. Unatumiwa mwanzo mwisho ORODHA YA RIWAYA NI HII. 1. FEDHEHA 2. NINGE 3. USINILILIE MIMI KAWASIMULIE WANAO 4. MITIHANI 5. PUMBAZO 6. LIWALO NA LIWE 7...
  4. Baba Mtu

    Usipige kura kwa ushabiki

    Bahati nzuri niliyonayo ni kwamba nimeshiriki chaguzi zote zilizopita, yaani nimepiga kura tangu uchaguzi wa kwanza mwaka 1995. Tatizo liko kwa wanaoanza kupiga kura mwaka huu. Kwa hawa wanaonza kupiga kura mwaka huu naomba niwasaidie kitu, uamuzi wa kuelewa ama kutoelewa ni juu yao...
  5. Baba Mtu

    Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki wapigwa marufuku kuchezwa katika vituo Radio na Televion.

    https://www.youtube.com/watch?v=T3AjXB1iJUc VIVA ROMA VIVA, PEPERUSHA BENDERA. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, mashairi ya wimbo yametulia na yanafikisha ujumbe moja kwa moja.
  6. Baba Mtu

    The world's going bad

    Wadau nautafuta wimbo unaoitwa The world's going bad. Umepigwa kwa mtindo wa reggae. Nilikuwa nikiusika, na ulivuma sana kunako miaka ya 1990. Zamani nilikuwa nikifiria ni wimbo mwanamuziki Sophia George, lakini nimeutafuta katika playlist ya Sophia George, haupo. Au labda nakosea jina...
  7. Baba Mtu

    Viwanja kwa ajili ya makazi Mkuranga, Chanika, Kigamboni na Masasi Mtwara

    Napenda kuwajuza kuwa kampuni ya Makazi Solutions Ltd imebadili utaratibu wa uuzwaji wa viwanja vyake vya Tengelea Mkuranga. Viwanja hivyo sasa vinauzwa kupitia kwa ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga. Utaratibu ni kama unavyoonekana katika picha hapa chini...
  8. Baba Mtu

    Mwakasege ashangaa wasichana wa Dar kutoolewa

    Vipi hakuombea na wanaotaka kuoa????
  9. Baba Mtu

    Njooni tujihesabu wale ambao tuna vitambulisho vya kupigia kura

    Wewe huwezi kuwa namba moja vinginevyo utuambie kuwa wewe ndio ulikuwa mtu wa kwanza kufanyiwa usajili ktk daftari la wa wapiga kura kwa kutumia bvr. Ukitaka kujua idadi ya wenye vitambulisho wasiliana na tume ya taifa ya uchaguzi itakupa takwimu sahihi. Hata hivyo sio wote waliojiandikisha...
  10. Baba Mtu

    Unalalamika maisha magumu, huduma mbovu halafu unashibikia CCM, hii si laana

    Ni mashabiki wa mfumo upi ambao wakiwa na shida ya pesa wakikufuata utawasaidia?????? Weka wazi.
  11. Baba Mtu

    Nilichagua upinzani kwa hasira 2010 haujabadilisha kitu nimerudi CCM rasmi

    Uko sahihi kwa 100%. Hakuna mbadala wa ccm kwa sasa. Kinachotaka kufanyika sasa ni mapinduzi na sio mabadiliko. Muda wa mabadiliko bado haujafika.
  12. Baba Mtu

    Tamko: Sitaki shobo

    Yaani mfano wake ni kama kununua cheni ya bandia kwa pesa bandia!!!! Safi sanaa shost, nimependa tamko lako, na ukizingatia mume ni bidhaa adimu kwa sasa.
  13. Baba Mtu

    Hizi ndizo kauli zinazowapeleka Ikulu viongozi wa CHADEMA/UKAWA!

    Akili zako changanya na akili za kuambiwa ili uweze kufanya maamuzi sahihi siku ya Oktoba 25, 2015
  14. Baba Mtu

    Viwanja kwa ajili ya makazi Mkuranga, Chanika, Kigamboni na Masasi Mtwara

    Ndiyo. Hiyo bei ni pamoja na hati.
  15. Baba Mtu

    Viwanja kwa ajili ya makazi Mkuranga, Chanika, Kigamboni na Masasi Mtwara

    Kampuni ya Makazi Solutions Ltd inawatangazia kuwa inauza viwanja kwa ajili ya makazi na biashara kama ifuatavyo: 1. Viwanja vya Tengelea Mkuranga. Bei ni sh 5000/- kwa 1sqm. Ukubwa unaanzia sqm 600 hadi 1500, yaani medium (ujazo wa kati) hadi low density (ujazo wa chini). Mkuranga ni...
  16. Baba Mtu

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Asante kwa ushauri dokta. Prunes na apricots kwa kibongo ndio vyakula gani hivyo??? Sijawahi kuvisikia au kuviona!!!
  17. Baba Mtu

    Airtel nao wale wale, hakuna afadhali

    Hata tigo 3G mikoani ni shida tupu. Few weeks zilopita nilikuwa bukombe nilishindwa kupata tigo 3G internet. Nikaenda geita hali ikawa vile vile kama bukombe, no internet 3G. Nilihuzika sana.
  18. Baba Mtu

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dokta pia nina maswali mawili kama ifuatavyo: 1. Swali toka kwa mke wangu. Yeye idadi ya siku zake za hedhi haziko fixed. Zina-fractuate mara kwa mara. Zina-range kati ya 33 hadi 60. Yaan mwez huu zaweza fika 45 wakti mwezi ulopita zilikuwa 36 na mwezi ujao zaweza fika 54. Inatupa shida...
Back
Top Bottom