Search results

  1. F

    UDSM waita kwenye usaili

    Habari wapendwa, Wale walioomba nafasi za kazi UDSM May 2016 wameanza kuita watu. Usaili utafanyika Jumatatu 04.07.2016. Msikae mbali na simu zenu, mimi nimetumiwa SMS na kupigiwa simu.
  2. F

    Natafuta mtu(Personal Secretary) aliyeajiriwa na Utumishi wa kubadilishana kituo cha kazi

    Habari wapendwa, Mimi ni Personal Secretary nimeajiriwa na utumishi nafanyia kazi Mbeya mjini, lakini mume wangu anaishi na kufanya kazi Dar. Natafuta mtu wa kubadilishana naye yeye atoke Dar aje Mbeya na awe ameajiriwa na utumishi, kwa aliyetayari naomba aje inbox
  3. F

    Sumatra mnatutesa abiria wa gongo la mboto

    Leo ta 23/9 ni siku ya pili Sumatra inatutesa abiria wa G/Mboto kuna mgogoro kati ya UDA na Sumatra kwa hiyo UDA hazendi Ferry badala yake magari ya G/Mboto yanafanya safari kati ya Mnazi mmoja na ferry tukajua ni jana tu lakini hadi leo bado hali ni ile ile. Hii ya leo ndio kali nimefika mnazi...
  4. F

    msaada wa kueleweshwa

    Bunge limetipisha muswada wa marekebisho ya secretarieti ya ajira baadhi ya nafasi za kazi zitangazwe na halmashauri na kuajiri huko huko kama madereva, wahudumu, masecretary, watunza kumbukumbu masjala ni hizo ninazo zifahamu, swali langu, vipi kuhusu Maafisa Utumishi?
  5. F

    Jinsi ya kuitambua simu ya mchina

    1. Betri ina jaa charge baada ya dakika tatu 2. ina TV, TOCHI na mswaki 3. NDEGE ikipita karibu simu ina andika 1 MISSED CALL 4. Ukiwa karibu na JIKO inaandika CHARGER CONNECTED 5.Ukipita karibu na MCHINA SIMU inaandika NEW DEVICE FOUND
  6. F

    Hatimaye rama mla watu na mama yake wameachiwa huru

    KIJANA Ramadhan Suleiman Mussa ‘Rama mla watu’ na mama yake Khadija Ally, leo wameachiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam baada ya kubainika kuwa mshitakiwa namba moja katika kesi hiyo (mla watu) alifanya kosa la mauaji akiwa na matitizo ya akili. Hata hivyo Rama Mla Watu...
  7. F

    Utumishi wameita kwenye usaili click ujionee

    click hapa PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
  8. F

    Songea yetu, karibuni mji uliobarikiwa

    Karibuni Songea Mji wa kitalii: 1. Kuna matuta makubwa ya barabarani Tanzania nzima (bumps) yapo bombambili ambapo kabla ya kufika Songea mjini lazima ukutane nayo. 2. Kuna pikipiki nyingi kuliko watu. 3. Kuna matunda mengi ya kipekee kama madonga, masuku, mfudu, mbula, mamvubula na...
  9. F

    Ama kweli kifo hakipendwi: Soma hii

    Jamambazi walivamia kanisa wakesama wanawaua wote kwa kufuata alfabet wakawauliza majina yao wakaanza na Mchungaji, naitwa Zeseph Zabrahamu badala ya Joseph Abrahamu, wapili naitwa Zobadia Zamweli badala ya Obadia Samweli, wa tatu naitwa Zanna Zadam badala ya Anna Adam, wa nne naitwa Zesta Zelia...
  10. F

    Utumishi wameita kwenye usaili

    Utumishi wameita kwenye usaili kwa maelezo zaidi ingia PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
  11. F

    Mchaga na bot

    Mchaga kaanguka BENKI KUU watu wakamsaidi: mmoja akasema "MPENI MAJI MENGI" Mchaga akainuka kwa hasira akasema "acha ujinga wewe, ningetaka maji si ningeanguka DAWASCO?
  12. F

    Nafasi za kazi utumishi

    Utumishi wametoa nafasi za kazi za kutosha, kwa wenye sifa ingia PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
  13. F

    Utumishi wameita kazini usaili wa trh 27 feb had 09 march

    1 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/D/22 22 Machi, 2013 KUITWA KAZINI Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 27 Februari...
  14. F

    sifa za baadhi ya mikoa ya TANZANIA

    1. Dar es salaam - utapeli 2. Arusha - heka heka 3. Mbeya - matukio 4. Tanga - majini 5. Dodoma - ombaomba 6. Mwanza - fujo 7. Kagera - misifa 8. Rukwa - uchawi 9. Kilimanjaro - ubahili 10. Mara - ukatili 11. Kigoma - ubishi 12. mtwara - umaskini 13. Ruvuma - Ugoni 14. Singida - upole 15. Tabora...
  15. F

    wageni wengine! mmh

    MWENYEJI: Utakunywa soda au chai? MGENI: Nitakunywa soda wakati nasubiri chai ichemke!
  16. F

    Acha hiyo haina betri

    Baba na mama wakiwa wamelela ghafla usiku MTOTO: Mama nataka nikakojoe MAMA: Chukua tochi uende mtoto akanyoosha mkono kutafuta tochi kumbe baba yake alilala uchi mtoto akashika mboo ya baba yake akidhani tochi BABA (wa kuzuga) we acha hiyo haina betri
  17. F

    Utumishi wameita kazini usaili wa 5-31 januari 2013

    1 SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/D/21 08 Machi, 2013 KUITWA KAZINI Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 05 hadi 31 Januari, 2013 kuwa walioorodheshwa katika tangazo...
  18. F

    Pesa noma!!

    Mzungu alifiwa na mbwa wake akampeleka kanisani ili asaliwe, Padri akamkaripia kwa ukali hatusalii mbwa hapa! mzungu akauliza ni kanisa gani wanasalia maana nina sadaka ya milion tano kwa padri atakaemsalia! Padri akajibu ah! kwanini hukusema tangu mwanzo kama mbwa wako ni Mkristo? haya mlete...
  19. F

    taarifa kwa umma

    J3 Bendera ya taifa itapepea nusu mlingoti, kutokana na msiba wa watu 246,000 waliokuwa wakitokea Form Four kwenda Form five kwa kutumia meli ya MV NECTA wamezama ktk ziwa Zero karibu na maeneo ya shule za Kata! Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Necta libarikiwe! Advance iliwapenda lakini...
Back
Top Bottom