Search results

  1. O

    Mnada wa mbuzi bagamoyo.

    Naomba anayejua mnada was mbuzi maeneo ya bagamoyo anijulishe unakuwa siku gani. Naomba sana msaada wenu.
  2. O

    MSC.ACCOUNTING & FINANCE

    Kwa wale waliopita vyuo vya IFM na IAA, Naomba ushauri wenu wa wapi pazuri kusoma hiyo Master ya Accounting & Finance.Ninachohitaji zaidi ni kuhusu Resources na Course contents. Wapi naweza kutoboa vizuri hasa ikizingatiwa ni muajiriwa na muda wa kujisomea ni mdogo. Natanguliza shukrani kwa...
  3. O

    Masters of Accounting and Finance

    Naomba mwenye ufahamu wa hii course anisaidie kujua chuo gani kinatoa content na kufundisha vizuri kati ya Mzumbe, IFM na IAA. IAA imenifurahisha zaidi maana kuna somo la Taxation tatizo sijui kama kuna walimu wa kutosha. Naomba msaada wenu.
  4. O

    Unverified increase account in Transit ni nini?

    Mwenye ufahamu anisaidie kujua unverified increase account in Transit ni nini na ina athari gani kwa Financial statement?. Naomba mnisaidie maana nimebananishwa na mhasibu anajibu querry za TRA.
  5. O

    Vigezo vinavyohitajika ili kuanzisha Duka la Dawa

    Ndugu zangu, Nafikiria kufungua duka la Dawa.Naomba anayejua Vigezo na Vibali vinavyohitajika anifahamishe. Vilevile naomba kufahamishwa na Dawa za Msingi na zinazouzika haraka. Duka la Dawa ninalohitaji ni la Mtaji wa Milioni Kumi.
  6. O

    Wataalamu wa Hisabati msaada wenu unahitajika.

    Swali la shule ya msingi nimeulizwa na binti yangu nikachemka. Naombeni msaada wenu. Swali. The average of three numbers is 48.The average of two of them is 45.Find the third number.
  7. O

    Maumivu makali ya tumbo nikisimama

    Naomba mwenye kujua tiba anisaidie, Nikisimama wima kwa takribani dakika mbili nasikia maumivu makali tumboni upande was kushoto.Nikikaa au kutembea hali hiyo huisha kabisa. Nimetembelea Hospitali mbalimbali na kupata vipimo mbalimbali lakini matokeo pakee ninayoyakumbuka ni kuambiwa Nina...
  8. O

    Msaada wa CPA review class-Technician level II

    Naomba anaejua Center nzuri inayofundisha Review ya Accounting Technician-Level II hasa kwa somo la Principles of Accounting and Auditing(T05) anifahamishe. Naomba Centre hiyo iwe Dar es Salaam na aniambie wanaanza lini kufundisha.Nataka nianze mchakamchaka wa kuikamata CPA(T). Naomba sana tena...
  9. O

    Wataalamu wa Sequence and Series,msaada unahitajika

    Swali linasema, Find the nth term in the series 3,6,12,24 Nimehangaika nalo sana sijapata jibu.
  10. O

    Wataalamu wa kodi na payroll, msaada wenu unahitajika

    Ninaomba msaada kwa yeyote anayeelewa anasaidie kuelewa yafuatayo:- 1. Mwajiriwa anastahili kukatwa Kodi yoyote au Michango ya Mfuko wa Jamii wakati was Probation Period? 2. Posho anayolipwa mwajiriwa mfano Extra duty allowance inastahili kukatwa Kodi? 3. Wafanyakazi wanaolipwa kwa Siku na...
  11. O

    Msaada wa Mtaalam wa Algebra

    Naomba kusaidiwa Solution ya hili swali. (4abc - 2ab)/(1-2c)
  12. O

    Naomba kujuzwa hospitali ya magonjwa ya watoto kwa Dar es Salaam

    Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam. Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana. Anayejua tiba au hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri, naomba anisaidie.
  13. O

    Msaada wa beforward Tanzania.

    Naomba anayejua zilipo office za be forward (T) kwa hapa Dar es Salaam anijuze.Hawa ni wale wanaohusika na uagizaji wa Magari kutoka Japani.
  14. O

    Chuo cha mafunzo ya Library au Secretarial Studies

    Naomba yeyote anayejua Chuo kwa ajili ya kusomea mambo ya Maktaba na Secretary kilichopo Dar es salaam anisaidie.Chuo kiwe kina usajili unaojulikana na kiwe na Hostel.Nahitaji kumpeleka binti yangu akajiendeleze.
  15. O

    External Auditors nahitaji Msaada wenu.

    Nimesoma tangazo la NBAA kuhusu fees wanazotakiwa kucharge Auditing firms wanapofanya kazi kwa Mteja wao. Ambacho sijakielewa ni Rank za External Auditor kama ifuatavyo. 1.Partner 2.Senior Manager. 3.Manager. 4.Senior 1. 5.Senior 2. 6.Assistant. Naomba kujua Sifa,Elimu na Vigezo vya hizi rank...
  16. O

    Wataalamu wa Magari mnahitajika

    Ninahitaji kununua gari dogo LA kutembelea.Naishi Maeneo ya Bonyokwa Dar es salaam,ambapo kuna milima milima mingi.Binafsi nyumba yangu IPO kwenye milima ambapo nahofia gari isiyo na nguvu huenda ikashindwa kupanda. Naomba wenye nagari mnisaidie Aina nzuri ya gari.Binafsi napendelea gari yenye...
  17. O

    Naomba yeyote anayeweza kufundisha Quickbooks kwa gharama nafuu tuwasiliane

    Naomba yeyote anayeweza kufundisha Quickbooks kwa Gharama nafuu tuwasiliane HARAKA. Mtu yeyote anayeweza kuelewesha na kueleweka anafaa kwa hili zoezi. Kama unamfahamu yeyote ,tuwasiliane mapema tafadhali kwa namba 0778 112230.
  18. O

    Msaada wa haraka kwa wataalamu wa kodi unahitajika

    Naomba kufahamishwa kuhusu kiwango sahihi cha Kulipa kodi kwa Mfanyabiashara mdogo mwenye Faida (Taxable income) ya shilingi 13,232,000/=. Naomba anaefahamu anisaidie mapema ili niweze kulipa mapema na kuepuka faini. Mwisho wa Mwezi huu ndio mwisho wa kupeleka malipo ya kodi bila faini kubwa...
  19. O

    Sijaona KIU kwenye kitabu cha TCU, Je hakikidhi viwango?

    Nimeona orodha ya Vyuo kutoka TCU ambavyo vimeruhusiwa kudahili wanafunzi wa Undergraduate kwa mwaka wa masomo 2017/2018.KIU sijakiona.Je,hakikidhi viwango vya kutoa Shahada ya Kwanza? Nina ndugu yangu nataka kumpeleka pale asome Diploma au Certificate.Naomba kujuzwa kama kimeruhusiwa kudahili...
  20. O

    Msaada wa haraka wa chuo na course

    Naomba kwa yeyote mwenye uelewa anisaidie kunifahamisha chuo kizuri kilichopo DSM au Nje ya DSM ambapo naweza kumpeleka mwanangu akasome Kozi itakayomsaidia.Kamaliza Kidato cha Nne 2016 na Kupata Division Four Points.27 kama ifuatavyo: KISWAHILI C ENGLISH C GEOGRAPHY D HISTORY...
Back
Top Bottom