Wadau, nahitaji mchango wenu, kwa yeyote anayejua kuhusu Sera ya Kilimo na Mifugo nchini, je, imefanya kazi ipasavyo? Imewanufaishaje Watanzania hasa wale wa makundi yaliyosahaulika ama yanayogandamizwa katika jamii kama wanawake? Bei za mazao zinawiana na gharama halisi za kilimo? miundombinu...
Wanajamii wenzangu nakuja na mada hii. Msinielewe vibaya, lakini kwa faida na ustawi wa jamii.
Ngono: ni neno linalozungumzia kwa mapana mambo mengi sana yakiwemo kutazama picha za ngono, kujichua na mambo mengineyo. Lakini kwa baadhi ya watu, wingi wa ngono na titendo vyake, vinavyochangiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.