Search results

  1. tonge nyama

    Huu ndiyo mtaji mpya wa CHADEMA kuelekea kuchukua dola

    Acha us. enge dogo, huyo mtangulizi ulimnyoa wapi wakati wewe ndio uliyenyolewa. Labda useme wembe aliokunyolea mtangulizi ndio huo huo mama atakunyoa
  2. tonge nyama

    IST ina tatizo la coolant kutorudi kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank

    Tatizo linaweza kuwa moja au zaidi ya yafuatayo 1. Horse pipe(s) hazija seal vizuri. A za kuangalia kale kapipe kanakounganisha rejeta ha reserve tank. Pia kuna kapipe ndani ya reserve tank kanaweza kuwa kamelegea. 2. Mfuniko wa rejeta hauseal vizuri 3. Rejeta inavujisha. Inaweza kuwa kuna...
  3. tonge nyama

    Utabiri hali ya hewa mnasubiri nini kutuambia hali ya mvua ya vuli mwaka huu?

    Mvua za vuli zinaanzaga kati ya septemba na oktoba kanda ya ziwa na utabiri wanatoaga mwezi wa nane so subiri au wapigie namba zao zipo kwemye website. Hata hivyo kuna utabiri wa kila mwezi, kila siku kumi, kila siku tano na kila siku tunawaona kwenye tv acha ulalamishi.
  4. tonge nyama

    Rais Trump ataka Makanisa, Misikiti na Masinagogi vifunguliwe

    Kwani da mange na mwamba tuvushe wanasemaje Sent using Jamii Forums mobile app
  5. tonge nyama

    Katika mazingira ya sasa,je Tanzania Metereological Agency(TMA) bado ni relevant?

    Mheshimiwa jielimishe kidogo.. hao weather channel na hizo app zingine wanapata wapi initial condition data.. wana Kituo cha kupimia hali ya hewa hapa nchini? Utabiri wao umekusaidiaje kwa kilimo wakati hawatoi utabiri wa msimu. Mwisho wao mara nyingi ni siku 7 hadi 10. Utabiri wa siku 10...
  6. tonge nyama

    Nape Nnauye atamani Bunge lifute sheria za ovyo

    Bila shaka I’m the first to reply. Ahsante
  7. tonge nyama

    Serikali ya W/chato wanyang'anya Ardhi ya Kilimo ekari 1000 wananchi wa Chato na Nyakakarango

    Umeandika kishangingi bila shaka ni pumba tu isiyo na ushahidi wa aina yeyote
  8. tonge nyama

    Mbunge Joshua Nassari acha kuhadaa watu na tukio feki la kuvamiwa

    Kila mwenye akili timamu alijua lile ni igizo tu halina tofauti yeyote na futuhi
  9. tonge nyama

    Mozilla Firefox haifanyi kazi

    Wameshairekebisha masaa machache yaliyopita. Ilikuwa ni tatizo la dunia nzima sasahivi iko poa
  10. tonge nyama

    Kuna watu walitangaza wanajitayarisha kuapishwa

    Odinga maalim Seif na lowasa will never be.. na wanajua hilo ila wanazuga mazombi yao tu
  11. tonge nyama

    Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

    Hivi mkuu huwa wanakutumia notification kila uzi ukianzishwa au inakuwaje? Otherwise wewe ni mnoma
  12. tonge nyama

    Wapi itapatikana macbook air zile ndogo nyeupe at 350,000/=

    Tatizo ulisema macbook air ndio maana ukatuvuruga. Kuna tofauti kubwa kati ya macbook MacBook Air na MacBook Pro. Hiyo uliyoweka ni macbook mid 2010 polycarbonate unibody. Badilisha basi heading na post ili twende sawa.
  13. tonge nyama

    Wapi itapatikana macbook air zile ndogo nyeupe at 350,000/=

    Dogo tatizo lako hujui haya mambo. Kwanza jifunze utofauti kati ya macbook, MacBook Pro na MacBook Air. Kwenye uzi wako umezungumzia macbook air halafu hapa unaleta kitu tofauti kabisa. Kwa kukushauri tu hayo madude yameshapitwa sana na wakati, yanatumia OS X ya snow Leonard ambayo haina support...
Back
Top Bottom