Search results

  1. CHAI CHUNGU

    Mwanadamu wa kwanza alikuwa na Kimo cha Futi 90

    Nimeona niilete hapa ili tupate elimu maana JF ni shule. Naomba topic hii isijadiliwe kwa kashfa za kidini maana maandiko yapo so ni bora kutumia maandiko kama ushahidi. USHAHIDI WA TOPIC YANGU NI HUU Na Maulamaa, Wanasayansi, Mfasiri Abu Kawthar Makala hii itagawanyika katika sehemu kuu...
  2. CHAI CHUNGU

    Nyerere,kanisa katoliki na muendelezo wa mfumo kristo dhidi ya Uislam Tanzania

    SEHEMU YA KWANZA: --Utangulizi Baada ya kifo cha Julus Kambarage Nyerere tarehe 14 Oktoba 1999 mengi yamesemwa na kuandikwa kuhusu msimamo wake na uadilifu kuhusu Uislam Tanzania. Nia ya kitabu hiki ni kueleza jinsi Mwalimu Nyerere katika kipindi chake cha uongozi- alivyoshughulikia suala la...
  3. CHAI CHUNGU

    Top 10 best engines in the world

    10 BEST ENGINES IN THE WORLD. http://autos.yahoo.com/news/10-best-engines-world-211840467.html http://autos.yahoo.com/news/10-best-engines-world-211840467.html
  4. CHAI CHUNGU

    Watuhumiwa wa ESCROW kunyang'anywa hati za kusafiria!!

    Naona chama changu pendwa kimeamua liwalo na liwe. Sasa usalama wa taifa umepewa kibali cha kuzikama hati za kusafiria za wahusika wa tuhuma za ESCROW wapatao 27(sina hakika kama wote 27 wamekula pesa hiyo,but list ya watu wanaotakiwa kunyang'anywa HATI ni 27)
  5. CHAI CHUNGU

    Kuelekea 2015,UKAWA vs CCM=AFADHALI vs POTELEA MBALI!!!

    Maongezi na fikra za watanzania kwa sasa ni;afadhali "UKAWA" ije kuitoa CCM madarakani,na wenye chama chao(CCM)kutokana na madudu yaliyopo chamani,wao nao wana kauli zao/zetu za POTELEA mbali bora niendelee kuipugania CCM yangu. TUKIRUDI UPANDE WA PILI(UKAWA) BINAFSI natamani kuiona CCM ikikaa...
  6. CHAI CHUNGU

    Kiswahili kwa mkurya ni janga,ebu ona hii ya msibani Tarime!!!

    KISWAHILI KILIVYOTATIZA MSIBANI TARIME: Ndugu Sangu tumekucha hapa Maarum kwa chambo mocha tu. Mama Rhobi AMEFIRWA na kaka yake usiku wa kuamkia reo. Chambo ra kufirwa si ra mcheso, na sio ra mtu mmocha mmocha. Reo kafirwa mama Rhobi, kesho ntafirwa mimi, kesho kutwa Utafirwa wewe mama...
  7. CHAI CHUNGU

    Pacquiao vs Mayweather mwakani,810billions mezani!!!

    Manny Pacquiao amesema majadiliano yanaendelea juu ya-bambino la Pauni Milioni 300 baina yake na Floyd Mayweather Jnr. Mabingwa hao wawili wa uzito wa Welter duniani, kwa muda mrefu wamekuwa wakichukuliwa kama mabondia bora zaidi duniani. Lakini mashabiki wa ngumi wamekuwa wakisikitishwa na...
  8. CHAI CHUNGU

    Kahaba asimulia alivyoambukiza ukimwi zaidi ya watu 300!!

    DAH NOMA STORY YA DADA HUYU KAHABA INASISIMUA NA KUHUZUNISHA LAKINI NDO HIVYO TENA 12:08 -STORY -No comments. -Nilikua mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini dare s salaam , katika kuajiriwa kwangu huko nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile , basi siku moja moja nilikuwa...
  9. CHAI CHUNGU

    Aise,siku hizi ndoa zimekua mzigo,ebu mcheki huyu jamaa!!!

    Tazama ndoa za wa2 kutokana na maisha yalivyobadilika na watu kuchokana. Jamaa alikaa na cheti chake cha ndoa kwa masaa 4 akikitazama mara mkewe akamuuliza vp leo umekumbuka siku ya ndoa? Mume akamjibu HAPANA 'NATAFUTA EXPIRE DATE YANDOA SIIONI....GUDNITE!!!!
  10. CHAI CHUNGU

    Huyu kichaa amepona kweli???toa maoni yako!!!!

    JE! HUYU KICHAA AMEPONA KWELI?TOA MAONI YAKO:- John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka? akajibu ndio nyumba yangu ilee, mara wakatoka watoto wawili wamevaa uniform akasema watoto wangu walee...
  11. CHAI CHUNGU

    Tofauti yetu na wazungu ni hii!

    Hapa ni mtoto wa kitanzania mwenye miaka miwili.yeye akilala anaota mpira,akiamka anaulizia mpira.sasa mfananishe na huyo wa kizungu alafu niambie nani anastaili kuchukua kombe la dunia?
  12. CHAI CHUNGU

    Mekumithi!

    Mekumithiiii
  13. CHAI CHUNGU

    Mh mdee akipigwa para ili kuanza mafunzo ya kijeshi!!!

    Mbunge wa KAWE HALIMA MDEE akinyolewa kipara kabla ya kuanza TIMBWILI la JKT.
  14. CHAI CHUNGU

    Huyu ni member hapa jf,jee unamfahamu??

    Ukipatia jibu kuna zawadi nono!!!!!
  15. CHAI CHUNGU

    Huyu ustadhi ataimaliza hii futari kweli?

    Aise ni hatari!!
  16. CHAI CHUNGU

    Picha:hii ndio dawa bora ya nguvu za kiume na maumbile(vibamia)

    Tumia panya 7 kwa siku 7 kisha lete mrejesho!!!!
  17. CHAI CHUNGU

    Kumbe kutunguliwa kwa ndege ya Malaysia lengo ilikua kumua Putin

    Hii lazima Obama kahusika. Angalieni hiyo picha. I CAN SAY THAT PUTIN PLANE AND THE MALAYSIAN BOEING INTERSECTED AT THE SAME POINT AND THE ECHOLON.THAT WAS CLOSE TO WARSAW ON 330-M ECHELON AT THE HEIGHT OF 10,100METERS.THE PRESIDENTIAL JET WAS THERE AT 16:21 MOSCOW TIME,AND THE MALAYSIAN...
  18. CHAI CHUNGU

    Picha:king'asti na Paw katika penzi zito!

    Kwa raha zenu wapendwa.
Back
Top Bottom