Search results

  1. killo

    Ushiru Wa kurudisha Maiti Dar

    Dadavua tafadhali... hilo jibu rahisi sana!
  2. killo

    Ushiru Wa kurudisha Maiti Dar

    Mkuu hapo ndo umeniacha kwenye mataa kabisa sijaelewa... Naomba uwe makini katika ufafanuzi ili nipate kuelewa..!!!
  3. killo

    Ushiru Wa kurudisha Maiti Dar

    Habari wapendwa, Naomba kuuliza, eti kama hata mimi nikienda nje ya nchi yetu Pendwa Tanzania na ikatokea bahati mbaya nimefariki, ndugu zangu wakaamua kuurudisha mwili Tanzania kwaajili ya maziko, SWALI: Naamini mtanzania ni mtanzania tu japokuwa haja ukana utanzania wake, Huu mwili/maiti...
  4. killo

    Operesheni Tokomeza Ajali kuanza; Wale mlioletewa leseni nyumbani mjipange kwenda jela

    Hapo kwenye "Vyeti " usiongee utaamsha mizimu iliyolala..!
  5. killo

    Operesheni Tokomeza Ajali kuanza; Wale mlioletewa leseni nyumbani mjipange kwenda jela

    Aisee kwakwelihili jambo silielewi kabisa... mimi nipata leseni yangu 1994 Class D tena wakati ule ilikuwa lazima uwe umekamilisha Lena 3 ndo uwe allegible kuomba Test pale traffic office... Sasa ilipofika wakati wa kurenew, kupewa hizi mpya, process ilikwenda na tukahakikiwa tukapewa hizo...
  6. killo

    Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Barabara ya sam mujoma... Kila siku wanapita yhe wrong side of the road.... Kama kuchelewa mtu si atachelewa siku moja basi ndo apite huko.. Wao kila siku si asubuji wala jioni kila siku wanapita wrong side na mara ngingi tu wanataka kusababisha ajali.... Yaani wakishafika taa za kwenda...
  7. killo

    Makakala na UHAMIAJI yako mkimalizana na Nondo naomba mturudishe na Sisi makwetu

    Loh... Asee... Nimesoma yoooote, mwanzo - mwisho... Hapa naona mambo mengi sana yanayoweza sababishwa kutokana na hii statement ya Uhamiaji....! Hatari Sana.!
  8. killo

    Ushuhuda: Hivi ndivyo nilivyoshuhudia maandamano ya Kinondoni na jinsi watu walivyopigwa risasi

    Tatizo mawazo Hasi muda wote....!!!! Si nzuri kwako hata kwa familia yako.... Hizi ni nyakati tofauti kabisa, watu wameelimika.... Si kila fundi hajui kuandika. Kuna watu wana Degeree zao na wanachoma welding, Mfano mzuri ni mimi.. Nina Degeree in Polotical Science ila ni fundi magari. Tubadilike
  9. killo

    Mkutano wa World Economic Forum huwa ni fursa, Rais wetu ameenda?

    Cc: Cocochannel [emoji124] [emoji124] [emoji124]
  10. killo

    Benki Kuu (BoT) yazifutia leseni benki kadhaa. Zimo Efatha Bank na Covenant Bank

    Hiyo ndiyo sheria ya kibenki kwa hapa tanzania...!!
  11. killo

    Hadithi za Msolopa Ganzi

    Hivi hizi hadithi zilikatazwa.. Kama jibu ni hapana, je wapi naweza pata vitabu vyake au audio zake.??
  12. killo

    Mke wangu alienda kunichongea kazini nikafukuzwa ili anitese

    Kaka kama ni kweli unayoongea maana hatujasikia story ya mke wako..... Kula kona acha nae... Hatari kitu gani bana..! Leo hayo kesho atafanya zaidi.. Maana mtu mwenye kukufanyia hivyo ni dhati ha mapenzi na wala si mtu wa maendeleo licha ya kuwa na uvumilivu. She so selfish and self centered...
  13. killo

    Msaada: Naweza kufika Namibia kwa basi?

    Unaweza Lugeye.. Kuungaunga
  14. killo

    Nipo kwenye semina ya ndoa, hamna mwanamke mwenye chura hapa

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  15. killo

    Tetesi: Hadhi (status) ya VODACOM imeshuka hapa nchini. Wanahama kutoka Mlimani City kwenda Kinondoni

    Sidhani... We ukihama nyumba kutoka sinza na G'mboto tukutizamaje? Acha maneno ya ajabu boss
  16. killo

    Asante Makonda kwa kutujazia 'chekechea' Mlimani city! Kwa kweli palipendeza!

    Jamani niulize.. Ile shughuli ilifanyika kwa Kodi ya watanzania au fedha binafsi za waandaaji ? Ni katika kutaka kujua tuu si vingine.
  17. killo

    I was in the Illuminati, I’m going to tell you everything, shocking expose

    Nice script.... Iko registered, if not, do so.. Unaweza pata hela..!
  18. killo

    Makonda: Leaders Club ni kwa ajili ya viongozi kubadilishana mawazo, matamasha ya usiku marufuku kuanzia 27/11/2017

    Lakini ni nimefikiria kitu.... Clouds inang'ang'ania kufnya fiest usiku na hali ndo kama hiyo... Pendekezo: Ni kwanini wasianze saa 5 asubuhi mpaka saa 5 na dakika 59 usiku, this way, watakiwa wamepata muda zaidi..! Ni mtazamo tuu..
  19. killo

    Msaada: Je wamiliki wa telebox Tanzania app ni matapeli?

    Lazima kwamza wataanza na yeye., kwanini athubutu kuhack number ya mtu mwingine? Pili ni kwamba.... Huwa hakuna hicho kitu nchi yoyote, ni kosa la kimtandao.
Back
Top Bottom