Search results

  1. SERGIO

    CCM ikichagua mgombea kutoka Z'bar itaanguka!

    Zanzibar hivi sasa ni nchi kamili, kwa mujibu wa katiba yake. Hivyo Watanganyika (bara) wanaichukulia Zanzibar kama nchi jirani. Kwa mantiki hiyo haitakuwa rahisi kwa mgombea kutoka nchi jirani ya Zanzibar, hata awe na sifa zote, kushinda kura katika uchaguzi huru na haki wa Rais wa Jamhuri ya...
  2. SERGIO

    Ripoti ya tume ya Sitta vipi?

    Samwel Sitta, Waziri wa Uchukuzi, mara baada ya kuteuliwa kwenye wadhifa huo aliutangazia umma kuwa ameunda tume ya kuchunguza utendaji wa aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Mhandisi Madeni Mapande, baada ya kumsimamisha kazi kwa tuhuma mbalimbali. Baadaye alitangaza...
  3. SERGIO

    Wakazi wa Mwenge watataabika hadi lini?

    Inasikitisha kuona mamia ya wakazi wa Mwenge, Mlalakuwa na maeneo mengine ya jirani jijini Dar es Salaam wakitembea umbali mrefu kufuata huduma ya daladala, baada ya kuhamishwa kwa kituo kikuu cha mabasi cha Mwenge. Kituo kimehamishiwa Makumbusho na daladala sasa haziruhusiwi kushusha wala...
  4. SERGIO

    Ngeleja na mchango mkubwa katika maendeleo ya umeme

    Ngeleja na mchango mkubwa katika maendeleo ya umeme Na MWANDISHI WETU KWA Tanzania, suala la kukatika kwa umeme limekuwa tatizo sugu kwa miaka nenda rudi kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za uchakavu wa mitambo na wakati mwingine uwezo wa mitambo iliyopo kushindwa kukidhi mahitaji ya...
  5. SERGIO

    Taarifa kwa Umma: Rugemalira hajafungua kesi Mahakama Kuu

    TAARIFA KWA UMMA Kuna uvumi unazagaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuwa mmiliki wa VIP Enginering and Marketing Limited, "aliyekuwa anamiliki hisa IPTL Ndugu Rugemalira" amefungua kesi Mahakama Kuu akiidai Serikali jumla ya TShs. 398 bilioni. VIP Engineering and Marketing Limited inapenda...
  6. SERGIO

    Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    FISADI ANAYETUMIA KISINGIZIO CHA KUTETEA WANYONGE KUZIFANYA CHUKI ZAKE BINAFSI ZIWE NI UGOMVI WA KITAIFA: Kwa miaka mingi kumukuwepo na jitihada za makusudi kabisa zinazofanywa na vyombo vya habari vya IPP kuchafua baadhi ya wizara za serikali, watu binafsi na ofisi za taasisi mbalimbali...
  7. SERGIO

    Utoh awashukia wabunge

  8. SERGIO

    Kumbe PAC iliazima hoja ya ubinafsishaji wa IPTL kutoka Standard Chartered Bank?

    Standard Chartered yaliazima Bunge hoja ya ubinafsishaji Na Prince M. Bagenda UTAIFISHAJI wa njia kuu za uzalishaji ni hoja mpya ambazo mabepari wameona zinafaa kunusuru mfumo wa ubepari duniani. Wakati wa mtikisiko wa uchumi duniani serikali za Marekani na Uingereza zilitumia mabilioni...
  9. SERGIO

    Gari Spacio4WD kwa Shilingi milioni 6.5.

    Gari aina ya Spacio 4 wheel drive inauzwa kwa milioni 6.5 tu. Piga simu 0786750202.
  10. SERGIO

    Standard Chartered yaliazima Bunge hoja ya ubinafsishaji

    Standard Chartered yaliazima Bunge hoja ya ubinafsishaji Na Prince M. Bagenda UTAIFISHAJI wa njia kuu za uzalishaji ni hoja mpya ambazo mabepari wameona zinafaa kunusuru mfumo wa ubepari duniani. Wakati wa mtikisiko wa uchumi duniani serikali za Marekani na Uingereza zilitumia...
  11. SERGIO

    Ukweli ni huu...

    http://youtu.be/rMZc4zEJyys
  12. SERGIO

    Ni makosa kuituhumu VIP Engineering

    Kampuni ya VIP Engineerinf inatuhumiwa kimakosa kwamba imefanya vitendo vya uvunjifu wa sheria kuhusiana na Akaunti ya Escrow. VIP si mshirika katika mkataba wa Akaunti ya Escrow ya Tegeta na haikuwa na jukumu lolote like katika uanzishwaji wake au katika ulipwaji wa fedha kutoka katika akaunti...
  13. SERGIO

    Sakata la Shyrose Bhanji na agenda ya Wanyarwanda kumng'oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki

    Siku za nyuma tuliwahi kujadili kuhusu suala la Rwanda kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na athari zake kwa jumuiya, kutokana na tabia ya Wanyarwanda ya kujisikia kwamba wao wamezaliwa kutawala. Imefahamika kwamba wabunge wa Rwanda katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA) ndio...
  14. SERGIO

    Isuzu elf 1.5 tons ipo sokoni

    Gari aina ya Isuzu Elf tani 1.5 (pichani) inauzwa. Bei ni gharama halisi ya kuagiza na kusafirisha (CIF) pamoja na ushuru. Changamkia offer hii kwa kupiga ku-pm au piga namba 0713619494 na 0763020589
  15. SERGIO

    Habari njema kwa wanasimba: Kiemba asaini

    Hii nimekutana nayo kwenye blog ya Bin Zubeiry. Bila shaka ni taarifa njema kwa wapenzi wa Wekundu wa Msimbazi... Na Mahmoud Zubeiry, IMEWEKWA JUNI 11, 2013 SAA 9:30 ALASIRI HATIMAYE kiungo Amri Ramadhani Kiemba amesaini Mkataba mpya na Simba SC mchana wa leo kuendelea kuichezea klabu hiyo...
  16. SERGIO

    Pajero i0 inauzwa chapchap kwa bei poa

    Kama unataka kumiliki gari aina ya Pajero io (GDI) milango mitano piga namba 0755312233/0717114409 uipate kwa bei nafuu. Mmiliki wa sasa anasafiri nje kwa masomo ya muda mrefu. Anayetaka kuiona kwa ajili ya kununua ataelekezwa ilipo.
  17. SERGIO

    Johnson Mbwambo: Kwanini sijisikii tena raha kuitwa mwandishi!

    Kwanini sijisikii tena raha kuitwa mwandishi! Ndugu zangu, zamani tulikuwa tukiambiwa kwamba mambo haya machafu yanayofanywa na waandishi wa habari yanaongezeka kwa kasi hivi sasa hapa nchini, kwa sababu taaluma imevamiwa na makanjanja; yaani watu wasio na elimu ya uandishi wa habari...
  18. SERGIO

    Unahitaji mafunzo ya kompyuta ngazi ya kimataifa?

    Kwa mara ya kwanza Watanzania watakuwa na fursa ya kupata mafunzo ya kompyuta katika ngazi ya kimataifa, International Computer Driving Licence (ICDL) certification, yatakayoendeshwa na Kituo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo na Ufafiti cha...
  19. SERGIO

    Eti Muhammed Seif Khatib naye sasa ni Dakta

    Jana wakati naangalia sherehe za miaka 36 ya CCM kupitia runinga nilishangaa kumsikia Nape akimtambulisha Muhammed Seif Khatib kama DAKTA. Sina uhakika kama huyu bwana naye ameshaikwaa PhD au ndio yale yale kama ya Dakta Kikwete. Hii title ya udaktari inapaswa kuheshimiwa jamani. Sidhani kama...
  20. SERGIO

    Wizi wa magari aina ya Noah washamiri Dar

    Kumekuwepo na wimbi la wizi wa magari aina ya Noah ulioibuka hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Magari mawili yaliibiwa usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita kutoka eneo la maegesho katika nyumba ya mzee mmoja maarufu mitaa ya Kimara B Temboni. Taarifa zinasema walinzi wa Kimasai wanaolinda eneo...
Back
Top Bottom