Search results

  1. M

    picha-Heaven on desert siku nyingi sijajitundika humu...

    kumbe unatumia maneno halafu hujui maana yake..tafuta kamusi ya kiswahili utafute maana ya neno mrembo......mimi sipotezi muda wangu..... sijui uwezo wako wa kufikiri upoje wewe....eti ukikoment thread ya mtu umevutiwa nayo????? au hujui maana ya kuvutia pia?
  2. M

    picha-Heaven on desert siku nyingi sijajitundika humu...

    aisee! kwa hiyo na ww ni mrembo? maana umevutiwa naye kias ukaona uingie humu. poor thinking capacity. yaan ukiingia na kucoment thread ya mtu unakuwa umevutiwa naye?
  3. M

    Tusker Project Fame Vs Epic Bongo Star Search

    halafu wewe Kyenju inaonekana wakati unasoma ulikuwa mzee wa kwenda out of point (op).hapa kila mtu ana opinion yake bana. au wewe ndio madam ritha? hapa hakuna kulemba na sina haja ya kuita sped eti kijiko kikubwa, " i call a spade a spade" huo ndio ukweli ukiuma tafuta maji ya baridi unywe...
  4. M

    Tusker Project Fame Vs Epic Bongo Star Search

    kosa kubwa walilofanya ni kuweka siku moja na TPF, matoke yake mtu akimaliza kuangalia TPF kurudi kuangalia EBSS inakuwa ngumu. washiriki wanapayuka ovyo ovyo tu, bendi ni kama kelele tu. yaani bora kuzima tv na kulala tu.
  5. M

    Lishe bora na matunzo ya mama mjamzito

    ahsante MziziMkavu, sijafanyiwa uchunguzi bado ila ntafanya hivyo soon. hapo kwenye maambukizi ni maambukizi gani hasa yanayoweza kusababisha miscarriage?
  6. M

    Lishe bora na matunzo ya mama mjamzito

    MziziMkavu na wana jf wengine naombeni ushauri wenu. mimi nina tatizo la miscarriage kila ninaposhika mimba. ya kwanza nilishika miaka miwili iliyopita lakini iliharibika siku ambayo ilitimiza miezi miwili. mwezi uliopita nilishika mimba ya pili lakini imekaa mwezi mmoja tu. na kuharibika siku...
  7. M

    Mitindo mbalimbali ya vitenge

    inategemea ofisi gani au unafanya kazi gani. kazi za ualimu bila vitenge viwili vitatu mambo hayaendi so unapiga "vipencil" siku tatu halafu una neutralize na kakitenge siku moja. la si hivyo unaambiwa hauna haiba ya kazi.
  8. M

    Natafuta mchumba/ mume

    sidhan kama nimemkana mungu hapa mi naamini katika mungu mmoja basi naweza kumtukuza katika dini yoyote tu dada{ isipokuwa zile za mashetani}
  9. M

    Salim Kikeke na Charles Hilary wa BBC SWAHILI, hakunaga kama hawa jamaa...

    mmh jaman sijui tatizo ni nini. mbona hawa walikuwa watangazaji wa ITV, alikuwa akitangaza habari kwa lugha ya kiingereza saa 4 usiku[ siku hizi hakipo] na charles hilal alikuwa radio one.
  10. M

    Natafuta mchumba/ mume

    yaa mparee 2 nakuunga mkono kwa 100% mapenzi hayna fomula kabisa mnaweza kukutana kanisana na bado ndoa ikawa ndoanoo, nashukuru sana kwa ushauri wako.
  11. M

    Natafuta mchumba/ mume

    sina kikomo cha umri ubungo!
  12. M

    Natafuta mchumba/ mume

    asante piper naamini kwa msaada wa mungu pia hakuna linaloshindikana
  13. M

    Natafuta mchumba/ mume

    nashukuru kwa ushauri
  14. M

    Natafuta mchumba/ mume

    mimi sifanyi biashara,
  15. M

    Natafuta mchumba/ mume

    thanks rejao
  16. M

    Natafuta mchumba/ mume

    kwani kuna tatizo katika hili mambali?
  17. M

    Natafuta mchumba/ mume

    ahsante prianka, niombee nipate mume bora.
  18. M

    Natafuta mchumba/ mume

    ahsante cognitivist. napenda mume wangu anizidi angalau miaka mitano, ntawataarifu 2 usijali
  19. M

    Natafuta mchumba/ mume

    Habari wana jf,mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27, nna elimu ya chuo kikuu, kwa sasa nnafanya kazi katika taasisi binafsi. natafuta mchumba ambaye atakuwa mume wangu. awe na umri angalau kuanzia miaka 32 na kuendelea . sichagui dini wala kabila nko tayari kubadili dini. awe tayari kupima...
Back
Top Bottom