Search results

  1. P

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Naona wengine ni muhimu warudi kusoma historia. Hata Muungano hawajui. Mwakyembe anazungumza akiwa na digrii tatu kichwani as constitutional lawyer na digrii tatu kichwani. MWIBA naweza pata cv yako? Sorry anyway
  2. P

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Duuh. kweli mmenipa wazo raha. ila mwanakijiji unafikiri sana. \wote wanaolia naweza toa konklusheni WIVU TUU HAMNA JINGINE. hii ni impact ya nyenyere na Mkapa Mungu wasamehe. wachaga tusonge mbele
  3. P

    Meremeta & TANGOLD Revealed!

    kawaida ya serikali. huulizwa maswali magumu na kutoa majibu mepesi. Shame on them
  4. P

    J. Mnyika: How and Why did you loose Ubungo 2005?

    anaweza kujaribu tena.ila kwake kujaribu ni kushindwa tena
  5. P

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    haina haja ya kumwambia raisi mafasadi ni kina nani. Ni walewale waliompa uongozi. Ple. NASIKITIKA HUNA KAZI
  6. P

    mwawaona hawa?

    Jamani mbona huyu wangwe zakayo si muelewi? anatafuta umaarufu au kweli ana uchungu na watu wake?
  7. P

    Ombi Umoja Wa Mataifa Kuhusu Ufisadi

    kutokana Na Upuuzi Unaoendelea Tanzania Sasa Nimeazimia Kuomba Umoja Wa Mataifa Watutumie Jeshi Ili Kuwakamata Mafisadi. Maana Mwanyika Na Mwema Wameshashindwa Kazi. Ripoti Nne Za Madini Zimeshakamilishwa Na Kupelekwa Kwa Wale Jamaa Tunaowapaga Nchi Wachezee;wapi? Ripoti Ya Lowasa Kuhusu...
  8. P

    A call for Kikwete to resign his presidency

    Ungekuwa wewe umepewa chance kwamba kikwete amejiuzulu chagua mwingine, yupi anafaa
  9. P

    Mke wa Rais naye kawa Kiongozi !????

    nadhani hawapatani na mumewe kama ujuavyo mambo ya JK.Sasa afanyaje kama si kupoteza muda ili asiongeze matatizo? Si unajua anajua kusoma kingereza siku hizi?
  10. P

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    mmh dada Tina, Hebu harakisha maana hizo ni habari muhimu katika mapinduzi tunayotegemea kumfanyia raisi Kikwete
  11. P

    Mkwasi Rostam na Vodacom

    tayari niko tigo
Back
Top Bottom