Search results

  1. G

    Kiti cha Ubunge Rorya - Wananchi Jimbo la Rorya muwe makini

    Tupe chanzo cha taarifa ya tuhuma dhidi ya Owawa! Si unakurupuka kama aliyefumaniwa Mamboleo
  2. G

    Werema: Hatuna waandishi wa habari za uchunguzi Tanzania bali wahemea kodi za pango

    Hizo ni jeuri ya bingo la escrow, lakn ajue mwisho wao u karibu mno!!
  3. G

    Ban Ki-Moon sympathises with Tibaijuka

    You better step down mama Tibaijuka, wapiga kura wako wanazidi kukosa imani nawe, UN kule hakuna kupiga deal kama huku kwetu uswahilini.
  4. G

    Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Acha tusubiri hiyo 2015 tutasikia mengi!!!
  5. G

    Nimevunja ndoa ya rafiki yangu

    Nadhani hatma yako haitakuwa nzuri ktk hili, machozi ya bint Sayuni hayatapita bure, heri ungefanya toba kuliko huu utumbo uliopost humu. Shame on you.
  6. G

    Pesa ni ya Shetani au ya Mungu?

    Kweli we jembe, nakupa bonge la LIKE, bahati mbaya natumia cm
  7. G

    Tujikumbushe "MSAZENGO" Mazengo and Msalato Secondary.

    Dah, hii ni kumbu kumbu nzuri sana mkuu, me nimeingia hapo Complex "96 nikakuta jamaa (Mkoba) ndo anaaga akaingia Kazimoto Msasa, RIP
  8. G

    Sista avuliwa Kilemba kwa kuwa na uhusiano na padri.

    Kwa hiyo unahitaji msaada gani?
  9. G

    Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

    Muulize Salva nadhani atakuwa na majibu
  10. G

    Wakurya na kiswahili

    We mama bhoke hepu rara chini nikurenge
  11. G

    Mwanamke hupendelea kushikwa wapi ili asisimke kimapenzi

    Zama chumvini hafu ulete ripoti
  12. G

    Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

    Wazalendo na wajenga nchi washatangulia mbele za haki, sasa tumebaki na wabomoa nchi na wachumia tumbo, katika hali kama hii kweli ikitokea ugumu katika kufikia maamuzi hafu kukawa na ulazima wa kupeana takrima ili mambo yasonge kweli atakaekuwa na ujasiri wa kuachia takrima hizo? Time will tell
  13. G

    Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

    Nna mashaka sana kama kweli this fela ni uzao wa one genius Dr.John Samwel Malecela, maana yake uwezo wako wa kuchanganua mambo uko very shallow sana, kuna masuala ya msingi yasiyohitaji tafsiri za kisiasa we unaleta siasa, shame on U Le Mutuz
  14. G

    Angalizo kwa wanaume pia na kina dada wa MMU piteni hapa

    Atujuze na wale walio-PM ha'fu akawapa mzigo, asimtaje tu Galapagos! mie tayari naitwa baba teh tehhhh
  15. G

    Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

    Kule kwa akina Ta Muganyizi wanayaita matumbo ya maji teh tehhhh
  16. G

    Jamboleo na Kagame kuna nini?

    Salaam sana Brother Jackton, baada ya salaam nipende tu kukuambia kuwa, kuwa mtanzania sio kushabikia propaganda za media zinazozidi kuleta tension miongoni mwa wananchi, tambua kuwa kuna kuwa mtanzania na kuwa mtanzania mzalendo, naamini kwa mzalendo yeyote hawezi kushabikia propaganda zozote...
  17. G

    Uhusiano wa mtoto kunyonya kidole na uwezo wake kiakili

    We need scientific analysis not blah blah, let me do simple research then i'll come back with scientifically analysed thread, no reseach no right to comment
  18. G

    Hii kitu kwenu mnaitaje?

    Kitu rabuon hii
Back
Top Bottom