Search results

  1. M CM

    Kuhusu viwanja vya mpira: Polepole kasema Uongo

    Amesema kuwa CCM ilitumia rasilimali zake kununua ardhi then wakajenga viwanja vya mpira. Na amesema kati viwanja 23 CCM inamiliki 22. Kwa taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba viwanja vyote vinavomilikiwa na CCM zimejengwa kwa nguvu za wananchi wote wa Tanzania tena wasio na chama. Na...
  2. M CM

    YUKO WAPI HUYU MTU?

    Wakati nimejiunga JF nilikuwa napenda kusoma comments za mdau mmoja anaitwa MWANAMALUNDI jamaa alikuwa anapinga kila hoja inayotolewa hapa jf. Pia ndiye aliyenifanya nijiunge na jf
  3. M CM

    CHAGUO LA MUNGU NI MTU WA NAMNA GANI?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza wana jukwaa tusaidiane kwa hili hasa tuki refer kwa maandiko matakatifu. Imekuwa si jambo la ajabu kusikia kutoka kwa viongozi wetu wa dini wakisema huyu ni chaguo la mumgu. Ilhali inawezekana muhusika alinunua wapiga kura au alichakachua matokeo...
  4. M CM

    Zali la mentali, ushauri tafadhali

    Wana Jamii Forums habari. Ni hivi nilikuwa nachati na mama mmoja huko UK ila sijui e-mail yangu alipataje kikubwa mama alikuwa anataka tuwe marafiki tu na picha kibao kanitumia na huyo mama anajiita Dr.oliver michel. Sasa kuna siku akaniambia nimekutumia zawadi kupitia kwa Rev sisi Mary maana...
  5. M CM

    Kinadada wa kanda ya kaskazini pitieni hapa

    Jamani hata mimi nahitaji mwanamke wa kuoa niliyokuwa naye alikuwa matumizi ya hapa na pale kama burudani. Nipo serious na hii ishu ya kuoa maana nimechoka kuibaiba visivyo halali. SIFA ZA MWANAMKE:1.Awe mkaaji wa kanda ya kaskazini, Ar,Kl na MRN 2.Awe mwalimu mwenye...
  6. M CM

    Kwenu akina dada maneno yenu yamenichosha

    Za asubuhi, Hivi akina dada/wamama waliomo humu jamvini mna matatizo gani? Naombeni niwaulize hilo kwanza then nitaendelea kufafanua kwanini nimeuliza swali hilo, Hivi kama mtu ana jambo la msingi linalomsumbua moyo wake na amefunguka hapa jf akitegemea majibu mazuri na mafanikio makubwa kwa...
  7. M CM

    Kwa walioko bukoba

    Shule inayojulikana kwa jina la KAHORORO itafunguliwa lini? Maana nina dogo kachaguliwa huko F5 na joining instruction huenda ikachelewa kufika huku.
  8. M CM

    Upi kati ya LAPF na PSPF

    Heshima kwenu nyote Hivi jamani naombeni mnisaidie kwamba ni mfuko upi mzuri kwa mafao ya uzeeni wa kujiunga kati ya LAPF na PSPF Ushauri wenu ni muhimu sana karibuni
  9. M CM

    Tangazo tangazo

    Jamani kwa walimu wapya wa kike waliopangwa mikoa ya arusha na manyara ambao wapo single natangaza rasmi kwamba nahitaji mwenza wa kuanzisha naye maisha, awe na sura nzuri na asiwe mnene sana. kwa aliye tayari ani PM Maelezo ni mafupi lakini namaanisha ninachokisema.
  10. M CM

    Serikali haina uhaba wa walimu

    Habari za weend wana jf wote, Binafsi nashindwa kuelewa kuhusu sifa zinazotumika kutoa ajira mpya kwa walimu wakufundisha shule za sekondari maana wapo wengi wameachwa mtaani bila ajira eti kwa kigezo cha kwamba wamesomea kufundisha somo moja kwa wao siyo walimu.sasa kuna haja gani ya serikali...
  11. M CM

    Ajira za walimu za yeyuka

    Kwa taarifa nilizozipa hivi punde kutoka kwa kigogo mmoja anayefanyia kazi wizarani zinasema kwamba serikali haina fedha za kuajiri walimu, kwa hiyo inabidi walimu hao wawe na subira hadi mwezi wa saba 2013. Walimu kuweni na subira mwezi wa saba siyo mbali. NB: Hii ni taarifa nawasilisha
  12. M CM

    Degree ya SUA pesa yako tu

    Jamani siku hizi ukiwa SUA kupata degree si lazima ukomae bali kama una mzigo wa kueleweka basi unapata (namaanisha pesa).Kuna lecture moja aliyekuwa anafundisha kozi yenye code EDM 304 aliwaomba rushwa ya 1000,000/=Tsh kwa wale waliofeli mtihani wa chuo (UE) ili awatoe wakati wa...
  13. M CM

    Naomba kufahamu ajira za makatibu tarafa

    Hivi ajira za makatibu tarafa hutolewa wakati gani? Na ili upate nafasi hii unatakiwa uwe na qualification gani? pia naomba kufamishwa hao makatibu wanalipwa kiasi cha mshahara?
Back
Top Bottom