Search results

  1. FDR.Jr

    Mo Dewji soka ni siasa na kwa Tanzania ni dini, ondoa Try Again, Mangungu na umuonye Imani. Simba fans tunakusihi kwa sababu wakati ni ukuta...

    MOHAMED DEWJI ADUI ZAKO NI TRY AGAIN NA MANGUNGU SIYO WANACHAMA WALA SI WASHABIKI WA SIMBA, UNAPOTAKA KULA LAZIMA ULIWE , WAWILI HAWA SIYO WALAJI BALI NI WALAFI,WAONDOKE SASA AMA WEWE MWENYEWE UKUBALI KUWAJIBIKA ONCE AND FOR ALL…..WASHAKUWEKA KONANI, SIMBA FANS WANAPUNGUKIWA IMANI NAWE…..EMBU...
  2. FDR.Jr

    Tanzia: MwanaJF Gottee afariki dunia akiwa hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

    Wana Jf , nasikitika kuwaarifu msiba wa Ndg Gottee Amefariki leo saa sita mchana Muhimbili-Mloganzila Wing,Ward Na6 Room 6 Magonjwa ya Ndani. Tarehe 7 March 2020 ali-colapse na kupasuka mshipa damu kichwani, tukamkimbiza Sinza Palestina then Mwananyamala tarehe 08 mchana akahamia Mloganzila na...
  3. FDR.Jr

    Morogoro CCM isiruhusu waroho wa madaraka ya uwaziri kuleta mgawanyiko wa chama na wanachama

    CCM KUANZIA MEI 2015 MPAKA TAREHE MOSI AUG 2015 IMEPITIA DEMOKRASIA YA KUPIMA MAKADA WAKE WANAOWANIA DHAMANA ZA UONGOZI WA SERIKALI KWA NJIA YA DOLA KUU, BUNGE NA MADIWANI NCHINI KOTE. MCHAKATO HUU WA CCM UMEKAMILIKA KWA KUGAWA MAKUNDI YALOUNGANA NDANI YA CHAMA KUTETEA WAMUAMINIYE ILI APEWE...
  4. FDR.Jr

    Mzee mangula, katibu mkuu kinana na mzee luhwavi ulanga -malinyi ccm imegushi matokeo ingilieni kati

    USIKU WA LEO CCM WATANGAZA MATOKEO YALOGUSHIWA JIMBO LA MALINYI LICHA UTHIBITISHO KUWAPO. CCM Wilaya Ulanga iko ktk kashfa ya kugushi matokeo ya KURA ZA MAONI ili kumnufaisha mmoja wa Mgombea aliyeshika nafasi ya pili ktk mchakato huu 2010 kwani kwa matokeo halis ya 2015 amejikuta ameporomoka na...
  5. FDR.Jr

    Mzee Mangula, Kinana na mzee Luhwavi, Ulanga Malinyi CCM imegushi matokeo

    USIKU WA LEO CCM WATANGAZA MATOKEO YALOGUSHIWA JIMBO LA MALINYI LICHA UTHIBITISHO KUWAPO. CCM Wilaya Ulanga iko ktk kashfa ya kugushi matokeo ya KURA ZA MAONI ili kumnufaisha mmoja wa Mgombea aliyeshika nafasi ya pili ktk mchakato huu 2010 kwani kwa matokeo halisi ya 2015 amejikuta ameporomoka...
  6. FDR.Jr

    Barabara ya Kilwa ni maalum kwa Polisi kila ifikapo saa tisa?

    Nimuda sasa wananchi watumiao barabara ya Kilwa wamelazimika kuingia gharama za bodaboda ama kutembea umbali mrefu toka Polisi ufundi mpaka Kariakoo au posta kisa kupisha misafara ya wakubwa polisi wanaorejea majumbani. Eneo hili ni maarufu kwa uwingi wa polisi, lakini monopoly hii wameitoa...
  7. FDR.Jr

    Kikwete asante kwa ujio wa Wilaya mpya ya Malinyi

    Mh. Rais na m/kiti wa CCM Dkt. Kikwete, sisi tunakupongeza wewe na chama chako kwa uamuzi wa kuijenga nchi, kuilinda na kutetea historia ya uhuru kwa kutambua safari ya TANU na Mwalimu Nyerere 50s-60s Malinyi. Dkt. Mponda na Matajiri wa Lupiro, acheni kukodisha wafanya...
  8. FDR.Jr

    Kanali w.massoy hatunaye tena duniani

    Ni majira ya saa nane usiku Jpili kuamkia Jtatu Tanzania imempoteza mpiganaji Mstaafu Kanali W. Massoy. Maombolezo ya msiba wa Kanali Massoy yanaendelea nyumbani kwake Dar es Salaam-Ukonga Sabasaba na mazishi yake ni Jmosi ya wiki hapahapa Dar es salaam ili kutoa nafasi kwa familia yake,ndg...
  9. FDR.Jr

    Gari yagonga nguzo ya umeme ktk ofisi za Mwananchi Media

    Nini kinatokea hapo Mwananchi Relini...gari inaparamia nguzo na umeme shuuuuuu. Eneo lote Ubungo ,External, Makuburi, Kibangu na Tabata Kimanga ya Mwananchi hakuna umeme. Huu uhalifu ni makusudi hata kidogo...waadhibiwe hawa madereva wa malori.
  10. FDR.Jr

    Geofrey Mgimwa azungumza bungeni kwa mara ya kwanza

    Punde mheshimiwa M/kiti wa Bunge la Bajeti Mohamed Arzan Zungu amempa nafasi Kijana mwenzetu Geofrey Mgimwa...loooooh looooh hatari sana wana Jf. Amejichanganya sana ktk ku adress Bunge, hajiamini, body language was 110 hajui yuko wapi.... Najiuliza huyu ameshindaje Jimboni? 2015 si salama...
  11. FDR.Jr

    Nawapongeza Mh. Ally Kessi na Mh. Shabiby kwa ujasili wao

    Mheshimiwa mbunge Ally Kessy wa Nkasi amesimama kidete kumlinda na kumtetea mh. Shabiby ambaye leo ameipinga bajeti ya waziri mkuu kwa sababu haoni uhalisia wa mipango na bajeti ndani ya jimbo lake....amelaani mauaji wanayofanyiwa wakulima mkoani Morogoro. Amekerwa na upuuzi ndani ya siasa za...
  12. FDR.Jr

    Nyuma ya Dkt. Pindi Chana ni Mtaalam Omar Nundu au?

    E bwana kama ni yeye basi kumbe uwaziri ni kazi mbaya maana zinatunyima Sunna ya ndevu baadhi yetu
  13. FDR.Jr

    Huyu paul makonda ni kiona mbali?..... Au anatumika?

    Anadai haki ya kubadilisha yaliyomo ktk rasimu...... Anataka M/kiti apewe mamlaka zaidi ya kumdhibiti Mbunge..... Anataka M/kiti wa Bunge hili alindwe na kanuni na ikibidi 51%...... Anataka kuwepo na mwanya kuingiza mapendekezo mapya ndani ya rasimu....... Anapenda Rasimu iitwe...
  14. FDR.Jr

    Habari za Mahenge Ulanga ni kuwa Diwani Severus Kamguna wa Igawa Malinyi amewekwa ndani kwa kesi ya

    Habari imetokea leo huko Ulanga, kesi ni shamba lakini DC ametuma Polisi waende wakambebe Diwani Igawa Malinyi ambako ni takribani 150km toka Mahenge ili amlaze ndani kwa kutumia ugeni wa Hakimu Mfawidhi Ulanga ktk political games zake against watu Malinyi.... Taarifa zaonyesha DC Mitti ana...
  15. FDR.Jr

    The Pledge

    Hii ni Ghana movie....inaelezea siasa za Ghana, kuhusu Rais Rawling na Vice wake ambaye lately akawa Rais Mzee John Atta Mills. Guys ni movie nzuri sana na inatuonyesha right path kiuongozi. Kumbe ndio maana Ndg. Obama ujio wake Africa alianzia Ghana!!
  16. FDR.Jr

    Mh. Mnyika jimbo lako hatuna umeme

    Si serikali wala Tanesco waliotoa taarifa ya kukosekana umeme kwa eneo hili!!!! Wananchi hatuna umeme toka jana asubuhi mpaka muda huu. Mh. Mnyika tuambie nini kinaendelea
  17. FDR.Jr

    Malinyi Ulanga: Mauaji katika mapambano ya jeshi la polisi na wakulima

    Wiki hii kumetokea mgogoro kati ya wafugaji(Wasukuma) na wananchi wa Igawa-Malinyi; chanzo cha mgogoro huu mpya ni watumishi wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama kukiuka maadili ya kutunza identity ya mtoa taarifa/chanzo cha habari. Tangu mwaka jana kule Ulanga Magharib kulikuwa na zoezi la...
  18. FDR.Jr

    Shamshi vua nahodha ni mkomavu na mpevu wa siasa za ndani na anajitambua

    akiwa mchangiaji wa mwisho mheshimiwa ameigusa nchi kwa hoja kunjufu na zenye mashiko..... Amelitaka bunge, serikali muungano, Mapinduzi na watanzania kufikiri beyond maeneo, umimi na zaidi waiangalie katiba kwa manufaa ya nchi leo na vizazi vijavyo.... Amehoji juu ya msuguano wa nani mkazi...
  19. FDR.Jr

    Karibu Ulanga Magharib, Kanali Kinana... Tunaomba Wilaya mpya ya Malinyi

    KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI COL. ABDULAHMAN KINANA. JUMATATU YA TAREHE 15 KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI ATAKUWA TAYARI MKOANI MOROGORO KWENYE WILAYA TARAJIWA YA MALINYI,; NINI KILIO CHENU WANA ULANGA MAGHARIBI/MALINYI? DARAJA MTO KILOMBERO-UJENZI UHARAKISHWE BARABARA YA...
  20. FDR.Jr

    Moto wateketeza mabweni Chuo cha Naliendele - Mtwara

    Chuo cha maafisa ugani Naliendele - Mtwara, moto kinateketea kwa moto muda huu. Nimearfiwa na mwanangu anayesoma huko. Walio Mtwara watupe maendeleo ya hali hii tete.....
Back
Top Bottom