Search results

  1. 3MMANUEL

    Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

    jamani nina CHEM-C, BIOS-C MATH-D PHYS-D KWENYE TANGAZO HAPO JUU KUNA SHARTI MOJA LINANIBANA KU-APPLY KWASABABU WAMESEMA MWOMBAJI AWE AMEMALIZA KIDATO CHA NNE 2008 NA KUENDELEA NA MIMI NIMEMALIZA 2006 NAOMBA USHAURI NIJARIBU KUTUMA MAOMBI AU SIWEZI KUPATA NAFASI KABISA?
  2. 3MMANUEL

    Bit torrent software!

    Asante mtaalam wangu hilo pia ni darasa tosha!
  3. 3MMANUEL

    Bit torrent software!

    Habari zenu wana Jf wote!ni imani yangu wote ni wazima but kama kuna wagonjwa basi poleni na ni imani yangu mta-recover soon! NAOMBENI PIA MSAADA WENU KUHUSIANA NA torrent sielewi ninini na inahusiana na mambo gani sometimes nakutana nayo kwenye ku-download vitu nielimisheni jamani!
  4. 3MMANUEL

    Kuuliza kitu sio ujinga bali ni kutaka kujua!!!

    nimenunua televisheni pamoja na dishi la kunasa mawimbi ya TV na hapa nilipo hakuna mtaalam wa kunisaidia kufanya setting ili niweze kupata taarifa mbalimbali za ndani na nje ya nchi hivyo kwa heshima kubwa naomba mnielekeze nianze na hatua gani na nimalize na ipi! sijawahi tangu kuzaliwa...
  5. 3MMANUEL

    Windows is not genuine, nawezaje kutatua shida hii

    inatakiwa uiactivate ndugu yangu,tumia window 7 activator!
  6. 3MMANUEL

    Siku hizi haki ya mtu ni pesa na usipokuwa na pesa huna haki hata ya kuishi tanzania

    jamani wana jamii naombeni msaada wa kisheria ilikuwa mwezi wa kumi na mbili mwaka 2010 mdogo wangu alifariki dunia baada ya kuchomwa kisu na jambazi na kufanikiwa kunyang'anywa pikipiki,tuliendelea kufanya upelelezi tukafanikiwa kumkamata mtu akitumia ile pikipiki na kumfikisha polisi tangu...
Back
Top Bottom